Nini sababu ya Hamza kufanya yote haya?

Ila jamani tuache masihara hivi huyu jamaa kama hilo vazi lingekuwa ni lilile la chadema ingekuwaje embu tujaribu kuvaa hivi viatu, namna viongozi wa nchii walivyo waonevu leo Mungu kawaumbua.
Yaani Mungu ni fundi kweli
 
Yale yale ya akina Abdallah Zombe
 
Kiswahili gani hiki? We jamaa mbovu kinyama, div 0
 
Mkuu wewe ni MTZ mbona kuandika kiswahili ni shida sana?
 
Tuwe wapole, jamaa anaonyesha ana mbinu za kivita, that means somewhere alipata training, tusiwe wepesi kuhukumu polisi.
Acheni ushamba nyie walugaluga, hata mimi najua kutumia silaha wala sijawahi enda JKT. Kushika silaha kunahitaji uwe na degree ngapi?
Kule Afghanistan bibi harusi anapewa AK 47 afyatue risasi hewani magazine inaisha alafu nyie mnakuja hapa kuamini bunduki ni kitu exceptional sana. Kwanza JKT wanafundishwa
 
Wewe si ni gaidi tunakujua!!
 
Sio jambazi sawa ila mtu ambae hana uzoefu na ile mijegeje anawezaje kutumia siraha kiasi kile? Mlikuwa hamjui vizuri tu
Mbona uko nyuma sana mkuu?
Hivi movies zote na YouTube zilivyojaa huwezi kujua jinsi ya kutumia hiyo machine? Ina utaalam gani Sana mpaka anaeweza kuutumia udhani ana mafunzo special?

Kuna vitu vya kujifunza kama vile kulenga shabaha, lakini sijui kukoki na kuondoa usalama (Loki) vitu vya kawaida tu hivyo mkuu kwa Mashine maarufu Kama SMG au AK47.
 
Sio jambazi sawa ila mtu ambae hana uzoefu na ile mijegeje anawezaje kutumia siraha kiasi kile? Mlikuwa hamjui vizuri tu
Kama Ana huo mgodi wa dhahabu na kama hio ndio biashara yake inawezekana pia aluchkua mafunzo just incase ikibidi kupambana na majambazi au 'wadhulumishi'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…