Mdudubitehunter
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 309
- 538
Matusi yanaleta morale mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nyie nshomire na madegree yenu zikitoka nafasi za form four mnaficha degree zenu mnaenda na vyeti vya form four.Kwa sababu qualifications zao ni form four failures, wanawaza ngono tu Hadi wakafeli. Simbachawene ndio kasema sio mimi
Dogo kuwa na adabu, hiz kauli zako zakipuuzi kwa jeshi la nchi, zitakuingiza hatiani...usijione mjanja na hiyo fake ID yako...kuwa na heshimaHawajitambui 90% ya majesho ya Tz ni nyumbu na zero
Ye anajua jeshi kama anavyotukanwa gwajima humu,, mwaache wamdake na I'd yake fake akaoshe magari maji kwenye kisodaDogo kuwa na adabu, hiz kauli zako zakipuuzi kwa jeshi la nchi, zitakuingiza hatiani...usijione mjanja na hiyo fake ID yako...kuwa na heshima
madogo wanakosa uzalendo kwa kulitusi jeshi linalowapambania hii amani ambayo inawapa kiburi cha kupost pumba...huyu angekuwa rwanda, china, russia asingefika , kesho huyu....Ye anajua jeshi kama anavyotukanwa gwajima humu,, mwaache wamdake na I'd yake fake akaoshe magari maji kwenye kisoda
Nyimbo nyingi za kawaida zinaboa. Zenye matusi ni utani ambao hauchoshi.. [emoji23]View attachment 2033025
Wadau naombeni kujua. Ukisikiliza nyimbo za majeshi wakiwa joging utasikia misemo tata inayoashiria matusi. Mimi sina shida na matusi ila naomba kujua sababu huwa ni nini hasa.
Unamwongelea nani?Hawajitambui 90% ya majesho ya Tz ni nyumbu na zero
That's actually a joke. And by the way, the first W stands for Work. (not war)Mkuu kazi ya jeshi si kazi ya siasa!
Kada ya jeshi ina historia yake na kuna mambo makuu matatu yanayowapa hamasa ili kupunguza makali ya utendaji wao wa kazi mgumu na za hatari, mambo hayo ni: vita, pombe na wanawake(3w's)!
Pombe na wanawake jeshini ni ration na ukiwa "mtoto si ridhiki" jeshi hauingii, ni unfit.
Na vita vinapendwa sana na wanajeshi kuliko tunavyodhania na ndiyo maongezi yao ya furaha hayo.
Vita vikitangazwa leo, utakuta hata waliostaafu wanerejea bila shurti, kiroho safi kwa furaha tele!
Nongwa na matusi yanayoongelewa jeshini, kwa mitaani ni makosa makubwa ya jinai, uzuri ni kwamba wanafundishwa elimu ya uraia, hivyo wanaelewa ni nini cha kuongea makambini na kukiacha humo humo.
Ushawahi kuona wanajeshi wanatukana watu ovyo mitaani?
Basi kumbe wana maadili yao, ambayo sisi raia hatuyawezi kwa sababu si maadili yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hizi ndo nyimbo za mchaka mchaka hata uboyzini[emoji23][emoji23][emoji23]"huyo dada kazaliwa nalo hiloo" inye plassiiii
"Huyo dada kazaliwa nalo Hilo "inye plassii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
3w's means war, women and whysky.That's actually a joke. And by the way, the first W stands for Work. (not war)
John John alihangaika
[emoji23]Dah.. I always thought it is Work Women and Wine
No. A first "W" alphabet stands for war.[emoji23]Dah.. I always thought it is Work Women and Wine
W - Women
Hahahahahah hizo nyimbo zinasisimua sana na kufurahisha at the same time😅 kwahio huwezi boreka hata kama unasukuma meli iende baharini!John John alihangaika
Alivyokamatwa Ugoni, alihangaika
Na chupi yake mkononi[emoji23][emoji23][emoji23]