Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

Tabia zao zina reflect jamii ya watu wanakotoka, sasa wabongo kwa tabia zenu za kupenda matusi mlitegemea wanajeshi waweje sasa. Kwingine kule Tanesco nako wanasemwa wana matusi balaa, hapo bado wavuvi, mafundi gereji, migodini kote huko ni matusi yanarindima. Kule kwengine nikasikia tusi la 'na sensi'.....​
 
Ye anajua jeshi kama anavyotukanwa gwajima humu,, mwaache wamdake na I'd yake fake akaoshe magari maji kwenye kisoda
madogo wanakosa uzalendo kwa kulitusi jeshi linalowapambania hii amani ambayo inawapa kiburi cha kupost pumba...huyu angekuwa rwanda, china, russia asingefika , kesho huyu....
 
Mkuu kazi ya jeshi si kazi ya siasa!

Kada ya jeshi ina historia yake na kuna mambo makuu matatu yanayowapa hamasa ili kupunguza makali ya utendaji wao wa kazi mgumu na za hatari, mambo hayo ni: vita, pombe na wanawake(3w's)!

Pombe na wanawake jeshini ni ration na ukiwa "mtoto si ridhiki" jeshi hauingii, ni unfit.

Na vita vinapendwa sana na wanajeshi kuliko tunavyodhania na ndiyo maongezi yao ya furaha hayo.

Vita vikitangazwa leo, utakuta hata waliostaafu wanerejea bila shurti, kiroho safi kwa furaha tele!

Nongwa na matusi yanayoongelewa jeshini, kwa mitaani ni makosa makubwa ya jinai, uzuri ni kwamba wanafundishwa elimu ya uraia, hivyo wanaelewa ni nini cha kuongea makambini na kukiacha humo humo.

Ushawahi kuona wanajeshi wanatukana watu ovyo mitaani?

Basi kumbe wana maadili yao, ambayo sisi raia hatuyawezi kwa sababu si maadili yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
That's actually a joke. And by the way, the first W stands for Work. (not war)
 
John John alihangaika
Alivyokamatwa Ugoni, alihangaika
Na chupi yake mkononi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah hizo nyimbo zinasisimua sana na kufurahisha at the same time😅 kwahio huwezi boreka hata kama unasukuma meli iende baharini!

Zinafanya zoezi gumu kuwa jepesi😅
 
Back
Top Bottom