Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

Kuchora tattoo imekua jambo rahisi zaidi kutokana na ujio wa nyenzo za kisasa za uchoraji,hata idadi ya wacheza soka ulaya wenye tattoo inazidi kuongezeka kila kukicha,zamani ilikua ni nadra sana kuona mchezaji kajichora tattoo,

Wengine wanaiga tu kutokana na utandawazi.
 
Hii pisi kali hapa imekuja na tattoo first year na imesema ilichora tangu iko diploma. Ila kwao hawajui kama anayo huwa anavaa ushungi na mavitambaa kujistiri. Iko kifuani
 
Kuna manzi mmoja ile kumla siku moja tu, ikawa ooh naomba nichore tattoo jina lako... kwa huruma sana nilimshauri asipagawe na mitindo ya kupita.

Wengi hujutia sana muda ukipita, mara nyingi hasa michoro isiyo na maana nzuri au ya mkumbo rika.
 
Kwa tamaduni zetu ukiona mtu kajichola tatoo ni jambo la kushangaza kidogo Ila kadri siku zinavyoenda na kukuwa kwa teknologia jambo hili la tattoo linakuwa kwa kasi..
Inafika kipind unamkuta binti kachora michoro maeneo ya kifuan na shingoni afu kavaa nguo amboyo inaacha kifua na shingo waz..
Mambo kama
1. Uroll model
2. Kuiga lifestyle za ughaibuni
3. Ujana(miaka 18-35)
Yanafanya yanawaponza wanachora tatoo.. Kuna mtu namfahamu umri wa makomo alicholaga tatoo mikononi enzi za ujana wake, Saiv anajutia kila leo. Anavaaga nguo za mikono mirefu muda wrote.

Speaking of wasichana kuchora tatoo, tumezoe kuwaona wahudumu wa baa na wale kwenye sehemu za starehe. Binafsi mm sinaga kabisa imani na wasichana walio chora tatoo
 
Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo.

Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu.

Natambua kweli ile tunaita moral fabric kwenye jamii nyingi iko kwenye hali mbaya lakini huku kwetu inakuja kwa kasi sana.

Je ni nini shida ama sababu?
Tatizo wewe mzee una standards za kizee.

Mimi si mpenzi wa tattoo na sitaweka.

Lakini natambua uhuru wa mtu mwingine kujiweka tattoo hata mwili mzima, bila kumnyanyapaa.

Rev. Martin Luther King Jr. alisema muhukumu mtu kwa matendo/ tabia yake, siyo kwa rangi ya ngozi yake.

Tattoo is mainstream nowadays. It is part of expression. People have a constitutional right to expression.

Who do you think you are?

The Prince Andrew Albert Christian Edward, Duke of York, Earl of Inverness, Baron Killyleagh, Knight Companion of the Most Noble Order of the Garter, Knight Grand Cross of the Royal Victorian Order, Personal Aide-de-Camp to The Queen?
 
Muhukumu kwa matendo yake/tabia yake sio rangi...kwa hiyo kuchora tatoo ni rangi zao mzeebaba??????
 
Back
Top Bottom