Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo.

Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu.

Natambua kweli ile tunaita moral fabric kwenye jamii nyingi iko kwenye hali mbaya lakini huku kwetu inakuja kwa kasi sana.

Je ni nini shida ama sababu?

Hawana sababu za msingi ni upumbafu wa hali ya juu.....

In short ni malezi mabaya inapelekea watoto kuharibika.....na kuna watoto washashindikana kwa wazazi wao, others mpaka wanawatoa uhai wazazi wao.......afrika ni afrika tu, haitabadilika kamanda Hakimu
 
Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo.

Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu.

Natambua kweli ile tunaita moral fabric kwenye jamii nyingi iko kwenye hali mbaya lakini huku kwetu inakuja kwa kasi sana.

Je ni nini shida ama sababu?
Dangaji
 
Back
Top Bottom