Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

Neck tattoos are preferable by everyone because this the most prominent part of the body and look attractive. For a tattoo process, you have to go for the best tattoo maker, check out its portfolio and choose the unique design to make neck tattoo. Even you ask your artist to create a customized design according to your requirements.

The neck tattoo is quite painful so follow the guidelines provided by your artist. Therefore, it is your responsibility to make your body hydrated and use ointments recommended, it helps to heal your tattoo quickly. Do you like to create a tattoo on your body?
 
Kuna porn star fulani anaitwa Candela X Ana tattoo matata Sana Yani imechorwa kuzunguka mqundu[emoji39][emoji39]
Wazee wa kupiga selfie na wafuasi wa Mia Khalifa tukutane nje ya geti kwa briefing kidogo 😃
 
Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo.

Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu.

Natambua kweli ile tunaita moral fabric kwenye jamii nyingi iko kwenye hali mbaya lakini huku kwetu inakuja kwa kasi sana.

Je ni nini shida ama sababu?
Ni ulimbukeni na wingi wa kuiga wasioyajua.
 
Wanaochora tattoo zinazoonekana wengi ni attention seekers. Mara nyingi ni wadangaji na malaya.

Wenye tattoo za siri pia ni walewale wadangaji na majambazi.

Though kuna minorities ambao wamechora tattoo kutokana na mkumbo rika au kushawishiwa na wapenzi wao. In simple language hawana akili sawa sawa.

Mwanamke bright, responsible na visionary hawezi fanya huo upumbavu hata siku moja.

Tattoo ni uhuni.
 
Acha ujinga wewe..tangu dini zimewa brainwash mnaona ni dhambi..hivi hujui kulikua na makabila kuchora miili yao ilikua ndio tamaduni zao..kama wamakonde..wanyaturu..to mention the few..wa walikua descent na walipendeza ilikua ni moja ya urembo..leo hii memegeuza kila kitu kwa ujinga wa dini za kuletewa..ndio nyie mnao ona ndoa ya wake wengi kosa..ila ushoga na usagaji ni haki za binadamu.

Tatoo sio tatizo..unaweza usiwe na tatoo ila ni malaya wa kutupwa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo.

Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu.

Natambua kweli ile tunaita moral fabric kwenye jamii nyingi iko kwenye hali mbaya lakini huku kwetu inakuja kwa kasi sana.

Je ni nini shida ama sababu?
Tattoo ina uhusiano gani na malezi pamoja na maadili?

Tattoo Ina tatzo gani hadi ijumuishwe kwenye orodha ya viashiria vya mmomonyoko wa maadili?

Tattoo kachora mwingne wewe unateseka nini?
 
Uzi bila pucha haunogi...[emoji4]
tapatalk_1580871995150.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya Walawi 19:28

Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna comment haitaelekea kufanana na UMALAYA.... ujuzi katikati ya miguu..

Hio itakuwa sio jibu la huu uzi.
 
Back
Top Bottom