The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Tuanzie hapa, wewe umeionaje hiyo michoro kwenye miili yao...
Kabisa mkuuShida ni UTANDAWAZI.
Vipini vya kwenye pua ni kama FarasiPlus kujitoga na kuvaa mapini mdomoni kifuani etc kama mambuzi[emoji35]
Tatizo wewe mzee una standards za kizee.Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo.
Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu.
Natambua kweli ile tunaita moral fabric kwenye jamii nyingi iko kwenye hali mbaya lakini huku kwetu inakuja kwa kasi sana.
Je ni nini shida ama sababu?
Muhukumu kwa matendo yake/tabia yake sio rangi...kwa hiyo kuchora tatoo ni rangi zao mzeebaba??????Tatizo wewe mzee una standards za kizee.
Mimi si mpenzi wa tattoo na sitaweka.
Lakini natambua uhuru wa mtu mwingine kujiweka tattoo hata mwili mzima, bila kumnyanyapaa.
Rev. Martin Luther King Jr. alisema muhukumu mtu kwa matendo/ tabia yake, siyo kwa rangi ya ngozi yake.
Tattoo is mainstream nowadays. It is part of expression. People have a constitutional right to expression.
Who do you think you are?
The Prince Andrew Albert Christian Edward, Duke of York, Earl of Inverness, Baron Killyleagh, Knight Companion of the Most Noble Order of the Garter, Knight Grand Cross of the Royal Victorian Order, Personal Aide-de-Camp to The Queen?
na huo ndio ukweli , ukitomba, vaa kondom 4 au zaidisijui hata nitaambiwa nn nielewe tofauti
Mwalimu hujambo?Shida ni UTANDAWAZI.
na huo ndio ukweli , ukitomba, vaa kondom 4 au zaidi
Upungufu wa akili ndio unapoanzia hapo"kuiga kitu bila kujua maana yake"Zamani ilikuwa ni mbinu ya kuwavutia wazungu wanapoenda kujiuza..
Siku hizi kuna malimbukeni wanaiga Tu hawajui lolote
Ahaaha fashion kills peoplePlus kujitoga na kuvaa mapini mdomoni kifuani etc kama mambuzi[emoji35]
Upungufu wa akili ndio unapoanzia hapo"kuiga kitu bila kujua maana yake"