Nini status ya Baraza la Mawaziri la Magufuli sasa na baada ya Samia Suluhu Hassan kuapishwa?

Yule mama usimchukulie poa, ni kichwa, na inaonekana yuko karibu na Mungu. Hivyo anajitambua,


Chadema yote + mwenyekiti wenu=Mama samia
Wrong number! Mimi ni Mtanzania tu Mzalendo na Mpenda Mabadiliko ya kweli. Si mwanachama wa Chadema! Ila ni adui namba moja wa CCM Nchini! Siku CCM ikifa, hakika nitafanya sherehe.

Very soon!!! Mechi itaanza kati ya CCM ASILI vs ccm makinikia!! Matokeo yake yatapatikana tu kabla ya 2025!! Inshallah, Mungu yupo.
 
Kifo cha Magufuli kimesikitisha sana na very soon tutaona impact yake .Magufuli was anti establishment na mama Samia ni Establishment.Akishaapishwa tu atavunja baraza la mawaziri na makatibu wa wizara .madam president ni mtu wa Nyerere na mwinyi .Je atakaebakia ni nani?
 
Wale wageni wote waenguliwe, mwigulu pia aondolewe, Kitila hafai na ware wasukuma
 
Wale wageni wote waenguliwe, mwigulu pia aondolewe, Kitila hafai na ware wasukuma
Mkuu unachuki na wasukuma,utafanikiwa kweli? Wasukuma wanakalia takribani mikoa mitano sasa ni maarifa yapi yatatumika kuwakwepa wasukuma katika serikali hii?
 
Acha usenge we kima.
Haya orodhesha mambo 10 mema aliyofanya kama ulivyoandika hapo juu.
 

Mungu amjaalie mamaetu mama samia alitendee haki taifa letu na kwa uaminifu.

Huyu mama sina shaka nae mkuu, ni jembe haswaa.
 
Kama tunavyojua baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 Mh. Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli (RIP) aliteua Baraza jipya la Mawaziri ambalo halikuwa na mwakilishi kutoka Upande wa pili wa Muungano.

Sasa hayupo na tumepata Rais mpya ambaye anatokea Visiwani, Je atawatumia Mawaziri hawa hawa waliotoka bara kuendesha Serikali yake?

Sasa hivi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana tools zote za kuongoza, Sasa wazanzibari hamna la kujitetea wakishindwa kupata mawaziri kwenye Kipindi hiki cha miaka mi4 ya SSH iliyobakia na pia mkikosa zile Serikali huru ya Zanzibar ndani ya kipindi hiki msahau!!

 
Hilo halikwepeki! Kinyume na hapo, basi akubali kubakia kuwa kivuli cha mtangulizi wake. Na akifanya hivyo basi atadharaulika na kuonekana kituko. Aanze na kiti cha Waziri Mkuu, aje Wizara ya Afya, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…