Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Waziri wa mambo ya ndani atatoka Zanzibar.Mambo mawili yanaweza kufanyika, mosi kuvunja baraza la mawaziri na kuliunda upya akishirikiana na makamu wa Rais mpya na waziri mkuu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri wa mambo ya ndani atatoka Zanzibar.Mambo mawili yanaweza kufanyika, mosi kuvunja baraza la mawaziri na kuliunda upya akishirikiana na makamu wa Rais mpya na waziri mkuu..
CCM ni ile ile tu hata akivunja hilo baraza hakuna jipya ndani ya CCM.Mambo mawili yanaweza kufanyika, mosi kuvunja baraza la mawaziri na kuliunda upya akishirikiana na makamu wa Rais mpya na waziri mkuu...
Ww huelewi! Magu alifanya uteuzi wakiwa na Samia! Kimsingi, mie namuona Magufuli akifufuka kwa nguvu kupia mama Samia ambaye watu hawataamini ushupavu wake na kimsingi watapata shinikizo la moyo baada ya kukosa matamanio yao ya 'kuiba na business as usual!'Mambo mawili yanaweza kufanyika, mosi kuvunja baraza la mawaziri na kuliunda upya akishirikiana na makamu wa Rais mpya na waziri mkuu....
Ww huelewi! Magu alifanya uteuzi wakiwa na Samia! Kimsingi, mie namuona Magufuli akifufuka kwa nguvu kupia mama Samia ambaye watu hawataamini ushupavu wake na kimsingi watapata shinikizo la moyo baada ya kukosa matamanio yao ya 'kuiba na business as usual!'.Mambo mawili yanaweza kufanyika, mosi kuvunja baraza la mawaziri na kuliunda upya akishirikiana na makamu wa Rais mpya na waziri mkuu...

Kwahiyo atoke ACT wazalendo?Waziri wa mambo ya ndani atatoka Zanzibar.
Kwani Zenj hakuna CCM? Maana tokea muda sasa wanatoa naibu waziri tu.Kwahiyo atoke ACT wazalendo?
Unataka mikoba apewe Dr Mollel!Kuna haja ya kumstaafisha mara moja field Martial wa afya ili kuinusuru wizara nyeti ya afya unless otherwise wizara inakoelekea siko kabisa
Yuko mzee Yusuf!Kwani Zenj hakuna CCM?Maana tokea muda sasa wanatoa naibu waziri tu.
Naangalia hapa TBC ni kama Katiba iko kimya kuhusu Makam wa Rais anaeapishwa kuwa Rais, anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri, mwanasheria akadai, Katiba iko kimya.Mambo mawili yanaweza kufanyika, mosi kuvunja baraza la mawaziri na kuliunda upya akishirikiana na makamu wa Rais mpya na waziri mkuu...
Ni lazima baraza la mawaziri livunjweMambo mawili yanaweza kufanyika, mosi kuvunja baraza la mawaziri na kuliunda upya akishirikiana na makamu wa Rais mpya na waziri mkuu...
Ana hiyari ya kulivunja ama kuendelea nalo.Naangalia hapa TBC ni kama Katiba iko kimya kuhusu Makam wa Rais anaeapishwa kuwa Rais, anaweza kuvunja Baraza la Mawaziri, mwanasheria akadai, Katiba iko kimya
Siyo lazima kama atapenda kuendelea na waziri mkuu aliyepo!Ni lazima baraza la mawaziri livunjwe