andromena
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 587
- 668
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna haja ya kumstaafisha mara moja field Martial wa afya ili kuinusuru wizara nyeti ya afya unless otherwise wizara inakoelekea siko kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna haja ya kumstaafisha mara moja field Martial wa afya ili kuinusuru wizara nyeti ya afya unless otherwise wizara inakoelekea siko kabisa.
Wrong number! Mimi ni Mtanzania tu Mzalendo na Mpenda Mabadiliko ya kweli. Si mwanachama wa Chadema! Ila ni adui namba moja wa CCM Nchini! Siku CCM ikifa, hakika nitafanya sherehe.Yule mama usimchukulie poa, ni kichwa, na inaonekana yuko karibu na Mungu. Hivyo anajitambua,
Chadema yote + mwenyekiti wenu=Mama samia
Wale wageni wote waenguliwe, mwigulu pia aondolewe, Kitila hafai na ware wasukumaKifo cha Magufuli kimesikitisha sana na very soon tutaona impact yake .Magufuli was anti establishment na mama Samia ni Establishment.Akishaapishwa tu atavunja baraza la mawaziri na makatibu wa wizara .madam president ni mtu wa Nyerere na mwinyi .Je atakaebakia ni Nani ???
Mkuu unachuki na wasukuma,utafanikiwa kweli? Wasukuma wanakalia takribani mikoa mitano sasa ni maarifa yapi yatatumika kuwakwepa wasukuma katika serikali hii?Wale wageni wote waenguliwe, mwigulu pia aondolewe, Kitila hafai na ware wasukuma
Yes she is establishmentMambo mawili yanaweza kufanyika, mosi kuvunja Baraza la Mawaziri na kuliunda upya akishirikiana na Makamu wa Rais mpya na Waziri Mkuu...
Ngoja waje akina Nyani Ngabu!Yes .she is establishment
Acha usenge we kima.Nitamkumbua Magufuli kwa ukatili wake wa kutisha
1. Kuvunja nyumba za wananchi wa Kimara - Mbezi bila chembe ya huruma ila wale wa Mwanza aliwaachia
2. Kupora Korosho za wananchi wa mikoa ya kusini kwa mtutu wa bunduki, hii hali iiwatia wananchi umasikini
3. Bila kujali kuwa watu wameshahudumu serikalini kwa muda mrefu na wanategemea kustaafu, akapitisha hoja ya uhakiki na kuwafukuza maelfu ya watu hao Huku akiwaacha bila kuwagusa wanasiasa na wateule wake katika hilo zoezi.
4. Kubabikizia watu kesi za uhujumu uchumi, kuwatesa kupitia mfumo wa mashitaka na kuzisababishia familia zao maumivu makubwa na hali ngumu
5. Kuendelea kuwashikilia mamia ya masheikh walioko jela huku akisamehe wabakaji akina Babu Seya.
6. Kukataa kuwapa watumishi wa serikai stahiki zao kwa wakati, ikiwemo kupandishwa madaraja na nyongeza za ishahara.
7. Kuharibu chaguzi zote zilizofanyika chini ya serikali yake, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, Alidhuluu haki ya wananchi kuchagua viongozi wao
8. Magufuli alitunga sheria kandamizi, na kuvuruga misingi ya katiba. Kafanya kia jitihada kulifanya bunge liwe butu, kuiweka mahakama mfukoni etc
9. Magufuli alikuwa na kauli mbaya zisizo na staha mfano "sisomeshi wazazi, serikali siyo iliyoleta tetemeko, baki na mavi yako nyumbani, nitapiga mashangazi.. etc"
10. Alikuwa na miradi kadhaa au mpango wa miradi kadhaa ambayo ni white elephant mfano, uwanja wa ndege Chato, Midege, Mpango wa Uwanja wa mpira Chato
11..Magufuli alikuwa mdini, huhitaji kuwa mwanasayansi wa elimu ya jamii kuona kuwa teuzi zake ziliaia sana watu wa imani moja
12. Magufuli alikuwa haheshimu katiba waa sheria pale zinapokinzana na anachokitaka yeye, mfano haki ya kufanya siasa kwa vyama vya siasa iliyokuwepo kikatiba hakuiheshimu
13. Magufulu hakuthubutu na wala hakujali kufanya uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na waliompiga risasi Lissu
Kwa hiyo mimi nakichukulia kifo cha Magufuli kama nafasi muhimu ili Taifa letu lipone.
Na sisi kama Taifa, tumeona kwa macho yetu namna katiba ya sasa ilivyokuwa hatari kama tunampata mtu mmoja asiyejali, ambaye ana element za udikteta, basi tuitumie nafasi hii kuliponya Taifa.
Tangulia Magufuli, uwongo mbaya sitokumiss na sijawahi kukupenda kwa style ya uongozi wako, ninatamani Taifa lisipate Kiongozi mwenye mapungufu ya aina yako, ni mapungufu hatari kabisa.
Binafsi naona Ridhiwani hana uwezo wa kuwa kwenye baraza la mawaziri labda abebwe Ila hao wengine sawa.January
Rizwan
Nape..
Hawa wote ndani ya cabinet
Wrong number! Mimi ni Mtanzania tu Mzalendo na Mpenda Mabadiliko ya kweli. Si mwanachama wa Chadema! Ila ni adui namba moja wa CCM Nchini! Siku CCM ikifa, hakika nitafanya sherehe.
Very soon!!! Mechi itaanza kati ya CCM ASILI vs ccm makinikia!! Matokeo yake yatapatikana tu kabla ya 2025!! Inshallah, Mungu yupo.
Kwanini Ndungulile out?Gwajima out, Ndungulile out
Naona Chawa umehamia kwa mamaMambo mawili yanaweza kufanyika, mosi kuvunja Baraza la Mawaziri na kuliunda upya akishirikiana na Makamu wa Rais mpya na Waziri Mkuu...
Wewe bado uko kwa Tundu Lisu?Naona Chawa umehamia kwa mama