Nahrene
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 938
- 2,908
HareneThoNah
[emoji15] [emoji15]
Hehehe..... Litamke sasa kama linakuja vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HareneThoNah
[emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nendeni PM mbadilishane tarakimu za mawasiliano ya simu za mkononi. Baada ya hapo kila kitu mwake.
Nmekupa mwanga pa kuanzia..Hehehe..... Litamke sasa kama linakuja vizuri
Inabid utamke kama Black America slang kibaoHehehe..... Litamke sasa kama linakuja vizuri
Nmekupa mwanga pa kuanzia..
Kama shule za serikal ti 75% unamalzia ww me zangu 25 tyr
twamasiku mwanafafyale wa swillaSante sana ndugu mwaipopo, umenikumbusha nilipokuwa Alevel pale Swilla High School, mbeya. Nilikuwa kwenye darasa ambalo zaidi ya asilimia 90 ya wafunzi wenzetu walikuwa na ubini unaoamziwa na MWA😱😱
kabisa mkuu....Daah! Lengijave.....maeneo ya ngaramtoni mbele mbele huko
Umepata sasa moj hapo ndiloBertha, Beatrice, Bernadeta, Belinda etc
Nikakate RB coz kuna mtu kama yeye nina ugomvi nae
Am back sizzya007;
Jina la TRANSCEND;
Mimi nilikuwa napenda sana mambo ya IT na Technology Development issues, though nikiwa chuo sikusoma hii fani ila nilikuwa mtundu sana kwenye mambo ya Computers na electronics devices zingine.....
Computer za wenzangu zikiwa na matatizo ndo nilikuwa nawasaidia na vitu vingine kama hivyo, sasa kuna aina ya flash inaitwa TRANSCEND ( najua wengine mnazijua) , ndo aina ya flash nilikuwaga Natumia na ilikuwa na 32Gb ndani ikiwa na setups za software's na mautundu-utundu mengine ya computers.... So watu wakawa wanajua flash yangu na kwa waliokuwa wanataka kununua flash niliwashauri wanunue TRANSCEND kwa kuw niliipenda sana hiyo brand ya flash disk.
Nakumbuka kuna Lecturer mmoja ambaye computer yake iliingiaga shortcut virus , lecturer akawa anahaha...kazi haifunguki ! Then nikamsaidia kwa kumwekea shortcut remover software .....so akija class ananiulizia ""Yule kijana wangu mwenye flash ya TRANSCEND 32Gb yuko wapi?""
From that day nikawa naitwa TRANSCEND
Kuhusu Avatar:
Huyo ni Blair Underwood , American actor... Kuna mdada alinipendaga tukiwa Olevel-seminary flani hivi Arusha....akawa ananiambia umekaa-kaa kama Blair hivi.....so she was calling me Blair ! Blair ! Nadhani alivurugwaga na hair styles yangu.....! Namshimu sana huyo dada....
Am out, hivyo yaani.
Nimeipenda hiiNapenda sana uigizaji wa Robert De Niro...
kuna movie inaitwa...Analyze this ..
aliulizwa na daktari 'what do you do for a living?'
akajibu 'i am the boss' 'i don't do anything'..
sijawahi isahau hiyo scene....