Nini suluhisho ya mahusiano yanakunyima amani ya moyo?

I bet kuna pisi umeipata ndo inakufanya uone huyo wa sasa hana issue
 
Aje na mafuta unataka kumlawiti??
Mbona unaonekana mstaarabu sana michaongo yako inasadifu ila nyuma ya pazia unamambo meuz hivi????
Ha ha haa,,afu wewe post zangu zote mbona kama unaniogopa ivi.Mkuu am woman with family ninayoandika humu ni kichwa tu kikiamua siku moja moja
 
Jua unachotaka katika hayo mahusiano. Kama hakipo basi achana nae huyo mtu. Wanawake na wanaume ni wengi tu duniani usiumie kwa ajili ya mtu ambae hakuthamini au anakutesa.
 
Umeandika point ya msingi sana.
 
Tujibanebane kwan twaazima

Hakika hakuna huo ulazima...na Biology inasema kitu kisipotumika mda mrefu huwa kina kawaida ya kupotea au kupoteza ubora

Proper use of resources..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaachana nayo unafanya mambo mengine, unaenda kujiunga kwenye mbio za waendesha baiskel
 
Sometimes, actually most times you just have to choose yoirself and what makes you happy.

Its sad because unajua kabisa hao watu utawaacha na maumivu moyoni but utaishi maisha ya kuwa please watu wakati huna furaha wala amani?

Is it really possible kuamua tu kuidhulumu nafsi yako?
 

Umemaliza mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…