Nini suluhisho ya mahusiano yanakunyima amani ya moyo?

Nini suluhisho ya mahusiano yanakunyima amani ya moyo?

I bet kuna pisi umeipata ndo inakufanya uone huyo wa sasa hana issue
 
Aje na mafuta unataka kumlawiti??
Mbona unaonekana mstaarabu sana michaongo yako inasadifu ila nyuma ya pazia unamambo meuz hivi????
Ha ha haa,,afu wewe post zangu zote mbona kama unaniogopa ivi.Mkuu am woman with family ninayoandika humu ni kichwa tu kikiamua siku moja moja
 
Jua unachotaka katika hayo mahusiano. Kama hakipo basi achana nae huyo mtu. Wanawake na wanaume ni wengi tu duniani usiumie kwa ajili ya mtu ambae hakuthamini au anakutesa.
 
Mkuu relax,,, mapenzi ni ufalla flani tu hivi wa muda na Maisha ya Fairy tales huwa ni mengi humo kuliko uhalisia...

Jipe raha,,, nasisitia jipe raha,,, Furaha yako iwe kipaumbele sana... Make sure chochote kitakacho haribu furaha yako kifanye upembuzi yakinifu... Ujue kama kinastahili hilo... Worth it.

Fanya yote ila usiingie majaribu USIOE,,... Amani ya moyo utakuwa nayo muda wote
Umeandika point ya msingi sana.
Screenshot_20220314-103802.jpg
 
Tujibanebane kwan twaazima

Hakika hakuna huo ulazima...na Biology inasema kitu kisipotumika mda mrefu huwa kina kawaida ya kupotea au kupoteza ubora

Proper use of resources..
 
Hakuna suluhisho bali ni kuteseka tu mpaka moyo wako utakapokuwa sugu na kuacha kujali au utakapoamua mwenyewe kuwa amani yako ya moyo ni muhimu kuliko hayo mahusiano yasiyo na amani. Na hakuna short cut. Kufa hutakufa ila cha moto utakiona hasa kama umependa mazima...ila muda ni tabibu mzuri. Mwishowe kila kitu kitakuwa sawa. Pole na hongera! [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndio chombo kinachokupa amani ya moyo.

Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi mwenza anaku treat vizuri anakuheshimu anakupa upendo wote ila basi unaona ila tuu haya mahusiano hayakupi amani na furaha ya moyo

Nini suluhisho ktk hiliiii
Unaachana nayo unafanya mambo mengine, unaenda kujiunga kwenye mbio za waendesha baiskel
 
Sometimes, actually most times you just have to choose yoirself and what makes you happy.

Its sad because unajua kabisa hao watu utawaacha na maumivu moyoni but utaishi maisha ya kuwa please watu wakati huna furaha wala amani?

Is it really possible kuamua tu kuidhulumu nafsi yako?
 
Hakuna suluhisho bali ni kuteseka tu mpaka moyo wako utakapokuwa sugu na kuacha kujali au utakapoamua mwenyewe kuwa amani yako ya moyo ni muhimu kuliko hayo mahusiano yasiyo na amani. Na hakuna short cut. Kufa hutakufa ila cha moto utakiona hasa kama umependa mazima...ila muda ni tabibu mzuri. Mwishowe kila kitu kitakuwa sawa. Pole na hongera! [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Umemaliza mkuu
 
Back
Top Bottom