Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Nyumbu kwenye ubora wakeHaikuwepo na haja ya kujenga bwawa jipya Hali ya zamani yangeweza boreshwa, kwa kuondoa michanga na matope mabwawani pia kubadili injini za zamani na kufunga za kisasa maji kidogo speed kubwa umeme mwingi.