Nini tafsiri ya Megawatts 2,115 za umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler's Gorge)?

Haikuwepo na haja ya kujenga bwawa jipya Hali ya zamani yangeweza boreshwa, kwa kuondoa michanga na matope mabwawani pia kubadili injini za zamani na kufunga za kisasa maji kidogo speed kubwa umeme mwingi.
Nyumbu kwenye ubora wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…