CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Duh! ndoto moja wiki nzima! pole sana Smile, ondoa shaka kwa kuwa unamwamini Mungu..zaidi sana soma neno kila siku kabla ya kulala na kusali.
ahahaaa ulikuwa umevaaje? mi nilikuwa uchi
Yani nakuwa kama nakimbia kwenda mahali fulani ( hata sipajui) au wakati mwingine nakuwa nakimbia watu wabaya wanataka kunidhuru..Najikuta badala ya kukimbia au kutembea kawaida najiona ninaenda juu kwa juu na inakuwa very fast..kama ndege zinavoenda .. na wakati mwingine najikuta nikitaka kutua naweza kupitiliza pale napotaka kusimama kwa sababu ya spidi kali.. Huwa naona nyumba na miti kwa chini.. (Zaidi ya hapo sijui nielezeje)
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????
Duu hii kwa kweli uwezo wangu wa kufikiri umefikia mwisho, Lakini inaweza kuwa uliwahi kuangalia movie zinazohusiana na watu kupaa or something like that, kama sivyo cheki your background inaweza kuwa either una-nguvu fulani extraodinary ambazo kama utaziendekeza utakuja kuwa mchawi (sorry for this) baadae au kama wewe ni mtu wa kusali sana basi unafanya imaginations nyingi zinazopelekea kutengeneza hiyo taswira kichwani. Just be simple avoid kuwa extreme, kwa mawazo yangu you have a strong imagination power. Take care.
mkuu kiukweli mimi napenda sana kuogelea but sijaogelea siku za karibuni wala sijaenda beach wala hakuna mtu nimepiga nae story hizo
kuhusu swali no 4 mimi huwa naogopa huwa sifurahii cause yale maji ni mengi
no tano sijiskii mkojo wala nini nakuwa tu ok
My dear, Mimi naamini ndoto ni ndoto tu..... Usiogope......ameen mamamdogo
MUNGU ni mkuu naamini hata kwa hili atanishindia,
Mhhhhhh!???? unanitisha sasa... muvi za kutisha huwa sipendi kabisa.. naangalia love story tuu.. sina imani za uchawi hata kwa mganga kwangu kituo cha polisi.. nasali lakn sio extremist... sasa unaposema imagination power unamaanisha nini?? hiz ndoto nimeota mara nyingi japo siku hiz zimepungua kabisaa..
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????
As it seems, kama kuna spirits flani zilikua zikikufwatilia( sign ya kukimbizwa na watu wabaya, mnyama mkali, ng'ombe, vitu visivyoonekana) but the fact kwamba unafika mahali na kukimbia spidi kali mpaka kufikia kupaa it signifies victory, ya kwamba vile vitu haviwezi kukushinda, it would be a sad story kama unakimbizwa then somethng like kukamatwa happens au kuingia kwenye shimo reefu usilo ona mwisho au ile vinakukaribia una amka.
So what to do, it seems your spiritual world is good, but it need more refueling, you know what I mean, take time to regain your spiritual strength, reading the WORD, praying, meditations, that gives you more power, powerful wings to fly next time.
Stay blessed.