CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Duh! ndoto moja wiki nzima! pole sana Smile, ondoa shaka kwa kuwa unamwamini Mungu..zaidi sana soma neno kila siku kabla ya kulala na kusali.
hi sis, hata me naface tatizo kama hili sema mie sio mfululizo ila haipiti mwezi sijaota kuhusu maji, iwe ni mtoni,ziwani,bwawani ama baharini!
Last edited by a moderator: