Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Duh! ndoto moja wiki nzima! pole sana Smile, ondoa shaka kwa kuwa unamwamini Mungu..zaidi sana soma neno kila siku kabla ya kulala na kusali.

hi sis, hata me naface tatizo kama hili sema mie sio mfululizo ila haipiti mwezi sijaota kuhusu maji, iwe ni mtoni,ziwani,bwawani ama baharini!
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa ulikuwa umevaaje? mi nilikuwa uchi

@Smile <<<<<<<<<<<<<Ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu!!!!!!!!!!!!
Epuka waume wa wenzako ohooo!! Hapo utakuta uliTEMBEA na mwanaume ambaye huwa anaTEMBEA na MPENZI JINI ukaingia anga za wenyewe na sasa anakupa WARNING>>>>>>>>>>> NITAFUTE KWA MUDA WAKO.
 
Hapa siwezi kukudanganya ngoja prof maji marefu aje ni mtaalam wa ndoto, st.paka mweusi.
 
Yani nakuwa kama nakimbia kwenda mahali fulani ( hata sipajui) au wakati mwingine nakuwa nakimbia watu wabaya wanataka kunidhuru..Najikuta badala ya kukimbia au kutembea kawaida najiona ninaenda juu kwa juu na inakuwa very fast..kama ndege zinavoenda .. na wakati mwingine najikuta nikitaka kutua naweza kupitiliza pale napotaka kusimama kwa sababu ya spidi kali.. Huwa naona nyumba na miti kwa chini.. (Zaidi ya hapo sijui nielezeje)

Duu hii kwa kweli uwezo wangu wa kufikiri umefikia mwisho, Lakini inaweza kuwa uliwahi kuangalia movie zinazohusiana na watu kupaa or something like that, kama sivyo cheki your background inaweza kuwa either una-nguvu fulani extraodinary ambazo kama utaziendekeza utakuja kuwa mchawi (sorry for this) baadae au kama wewe ni mtu wa kusali sana basi unafanya imaginations nyingi zinazopelekea kutengeneza hiyo taswira kichwani. Just be simple avoid kuwa extreme, kwa mawazo yangu you have a strong imagination power. Take care.
 
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????

watu weengi watakutisha
but hii ndoto ni ndoto nzuri mno
wenzio wanalilia kuota hivyo
 
Ndoto zina maana sana Smile katika maisha yetu na wahuburi wanasema usipoota au usipokumbuka ulichoota jua umekufa kiroho.nina kitabu kinaelezea tafsiri ya baadhi ya ndoto na maana ya ndoto yako ni kama Arushaone alivtosema ukiota onaogele baharini jua malikia wa pwani wa majini amekutawala nimesummary words in fact kitabu kinasema ndoto zinazohusian ana maji sio nzuri
 
Last edited by a moderator:
Duu hii kwa kweli uwezo wangu wa kufikiri umefikia mwisho, Lakini inaweza kuwa uliwahi kuangalia movie zinazohusiana na watu kupaa or something like that, kama sivyo cheki your background inaweza kuwa either una-nguvu fulani extraodinary ambazo kama utaziendekeza utakuja kuwa mchawi (sorry for this) baadae au kama wewe ni mtu wa kusali sana basi unafanya imaginations nyingi zinazopelekea kutengeneza hiyo taswira kichwani. Just be simple avoid kuwa extreme, kwa mawazo yangu you have a strong imagination power. Take care.

Mhhhhhh!???? unanitisha sasa... muvi za kutisha huwa sipendi kabisa.. naangalia love story tuu.. sina imani za uchawi hata kwa mganga kwangu kituo cha polisi.. nasali lakn sio extremist... sasa unaposema imagination power unamaanisha nini?? hiz ndoto nimeota mara nyingi japo siku hiz zimepungua kabisaa..
 
mkuu kiukweli mimi napenda sana kuogelea but sijaogelea siku za karibuni wala sijaenda beach wala hakuna mtu nimepiga nae story hizo
kuhusu swali no 4 mimi huwa naogopa huwa sifurahii cause yale maji ni mengi
no tano sijiskii mkojo wala nini nakuwa tu ok

that is all about mpangamji you know '''''''' what you think is where your body go so thinkpositive smile
 
kuogelea kwenye maji ni ishara ya neema na baraka nyingi zitakazomiminika kwako. (ingekuwa upo jangwani jua kali, loh!!!!)
 
ameen mamamdogo
MUNGU ni mkuu naamini hata kwa hili atanishindia,
My dear, Mimi naamini ndoto ni ndoto tu..... Usiogope......
jitahidi kuendelea kusali na kukemea kila unapokuwa na wasiwasi....... Usiruhusu wasiwasi ikutawale wanasema unavyowazia ndo kinachokuja. Angalia sijui ni sinema au documentary inaitwa "the secret" huwa napenda sana kuiangalia sababu inanifundisha ku-think positive.
by the way, kwani hupendi kuogelea weye? Enjoy kuogelea, tena kama in real life huwezi kuogelea fanya ndo darasa la kuogelea, lol!
 
As it seems, kama kuna spirits flani zilikua zikikufwatilia( sign ya kukimbizwa na watu wabaya, mnyama mkali, ng'ombe, vitu visivyoonekana) but the fact kwamba unafika mahali na kukimbia spidi kali mpaka kufikia kupaa it signifies victory, ya kwamba vile vitu haviwezi kukushinda, it would be a sad story kama unakimbizwa then somethng like kukamatwa happens au kuingia kwenye shimo reefu usilo ona mwisho au ile vinakukaribia una amka.
So what to do, it seems your spiritual world is good, but it need more refueling, you know what I mean, take time to regain your spiritual strength, reading the WORD, praying, meditations, that gives you more power, powerful wings to fly next time.
Stay blessed.
Mhhhhhh!???? unanitisha sasa... muvi za kutisha huwa sipendi kabisa.. naangalia love story tuu.. sina imani za uchawi hata kwa mganga kwangu kituo cha polisi.. nasali lakn sio extremist... sasa unaposema imagination power unamaanisha nini?? hiz ndoto nimeota mara nyingi japo siku hiz zimepungua kabisaa..
 
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????

Water is a powerful dream
symbol that holds deep
messages to the dreamer and
shouldn’t be over looked.
Water as a dream symbol
represents your current emotional state of mind.
As it seems, una struggle in some part of your emotional state of mind, kunaweza kuwa na internal conflicts, it can be about money, love, family, your job or something that touches your emotions so deep or even internal conflicts with your own self. . .
Advice, try to solve the internal problems first before moving to the external ones.
Second advice, meditation helps for people with these kinds of emotional instability, do it at least 10-15 mins a day.
Be happy, find moments that realy scare the crow out of you, at least once a week.
Like for approval, PM for more.
Tchao.
 
Wiki nzima ndoto moja mmmm pole sana kwa kawaida ndoto huwa hazijirudii ata mara moja........muombe sana mungu kabla ya kulala akuepushe na ndoto hzo
 
As it seems, kama kuna spirits flani zilikua zikikufwatilia( sign ya kukimbizwa na watu wabaya, mnyama mkali, ng'ombe, vitu visivyoonekana) but the fact kwamba unafika mahali na kukimbia spidi kali mpaka kufikia kupaa it signifies victory, ya kwamba vile vitu haviwezi kukushinda, it would be a sad story kama unakimbizwa then somethng like kukamatwa happens au kuingia kwenye shimo reefu usilo ona mwisho au ile vinakukaribia una amka.
So what to do, it seems your spiritual world is good, but it need more refueling, you know what I mean, take time to regain your spiritual strength, reading the WORD, praying, meditations, that gives you more power, powerful wings to fly next time.
Stay blessed.

Amen,thanks.Nimekuelewa sana.Ni kweli i need to work on my spiritual world..
One question...what exactly is meditation?ni kukaa kimya au?
 
As it seems, kama kuna spirits flani zilikua zikikufwatilia( sign ya kukimbizwa na watu wabaya, mnyama mkali, ng'ombe, vitu visivyoonekana) but the fact kwamba unafika mahali na kukimbia spidi kali mpaka kufikia kupaa it signifies victory, ya kwamba vile vitu haviwezi kukushinda, it would be a sad story kama unakimbizwa then somethng like kukamatwa happens au kuingia kwenye shimo reefu usilo ona mwisho au ile vinakukaribia una amka.
So what to do, it seems your spiritual world is good, but it need more refueling, you know what I mean, take time to regain your spiritual strength, reading the WORD, praying, meditations, that gives you more power, powerful wings to fly next time.
Stay blessed.

Hi Don

Naomba unipe somo hapo kwenye meditation huwa natatizika siku zote

Hivi unameditate vitu gani?
 
Back
Top Bottom