Nini tafsiri ya ndoto hii ?



ndoto zote ni mwili unajiongelesha. mwili huwa unajiongelesha kuhusu mafikirio yake katika ngazi ya roho, katika ngazi ya akili, na katika ngazi ya hali halisi. Haya mambo yanapoanza kutafakariwa kwenye sub-consious ndo unaona ndoto. Kwenye sub-consious ni eneo la mawazo ambalo halina utashi kama uliopo katika mafikirio ya hali halisi. Ni mafikirio katika hurka ya mwanadamu iliyojificha. Ukitaka kujua hilo lalia mkono wako uwe unaumia katika uzingizi. Hapa mwili utaanza kujiongelesha kuhusu tatizo hilo na utapata ndoto ya jinamizi.

Wewe una tamaa ya utajiri kupindukia lakini hujatangaza tamaa hiyo kwa uwazi kama vile wanvyofanya wabunge kule Dodoma. Tamaa yako imejificha inazungumzwa tu kwenye sub-consious. Nakushauri tafufa kazi ya kufanya inayokupa kipato fulani na ridhika na unachokipata. Bila hivyo kuna siku utafanya ujambazi au wizi wa aina nyingine. Mwili wako unajiongelesha kitu ambacho kama kisipopatikana unaweza ufanye lolote kukipata.
 

Umesoma chuo gan??madrasa au,mbona uandish wako hauonyesh km una elimu ya juu??hata mim ambae sijasoma naweza kuandika better than wew..jifunze kwa wengine jinsi wanavyoandika
 
UNAFANYA KAZI GANI? Uko kwenye hatari ya kujichafua kwa kujishughulisha na shughuli haramu kwa kushawishiwa na wenzio kwa sababu ya tamaa uliyonayo ya mafanikio.....kaa chonjo.
 
jifunze kujieleza kwanza
\
unaweza kummwambia mwanao au ndugu yako ajifunze hesabu?kama umeona hajuhi basi ni dhahiri wewe utakuwa unajua kuliko yeye,naomba unifundishe kujieleza MKUU WANGU.
 
Utakutana na sultan ukiwa katika mazingira tata na atakuhonga madollars mengi sana na utamzingua kwakua kum approach mwanaume aliye rijari ni kazi nae alitegemea 065 kama kumpa fadhila atakupeleka polisi na kukupa kesi ya wizi wa uaminifu nawe hutaki makuu ndugu yangu unaamua kumpa kabaang. Hilo co tope unalofirkiria ni kinyesi chako baada ya kubanduliwa.
 
jarbu sana kujiepusha na tabia chafu za tamaa ktk kaz yko, mshrkshe mungu rdhika na kpato chako, hizo ni dalili tu'
 
UNAFANYA KAZI GANI? Uko kwenye hatari ya kujichafua kwa kujishughulisha na shughuli haramu kwa kushawishiwa na wenzio kwa sababu ya tamaa uliyonayo ya mafanikio.....kaa chonjo.

umenitisha,mimi nimejiajiri,nina biashara binafsi na hazina mwelekeo wa kuwa na usharika wa kibiashara kufikia hapo,lakini nitazingatia ushauri wako mkuu
 
....kijana unahitaji maombi haraka sana...huyo ni jini mahaba anakunyemelea,hakikisha kabla ya kulala unapiga mswaki....

mkuu,tafadhali,unaweza kufafanua zaidi?hela,dhuluma,kukaguliwa na dimbwi la uchafu,haya kuyausisha na jini ndo kichwa kinauma
 

naishukuru jf na nakushukuru na wewe pia,kwajinsi ulivyolichambua hili jambo hakika ni dhahiri,ni kweli nina ambition ya mafanikio kupita kiwango cha kawaida,ila tangu nazaliwa sijawahi kufikiria kupata mali kwa njia isiyo halali,nimeshawahi kujitoa kwenye mradi tulioanzisha na wenzangu ambao ulikuwa wa hela nyingi sababu kubwa ikiwa niliona kuna njia za udanganyifu wenzangu wanataka kuzitumia,sijawahi kuiba hata cent wala kufikiria kufanya hivyo,nina uamnifu wa hali ya juu,lakini naheshimu hapo uliposema sijawahi kutangaza,hakuna anayejua ambition zangu,ni mimi mwenyewe tu
 

duuuh,kweli wewe pakaya
 

Naunga mkono hoja,umesema ukweli, tena itakuwa katika biashara afanyayo anapata fursa nzuri za kujikuza kiuchumi lakini anazipuuzia,kama ulivyosema inabidi ajitahidi kujiepusha na makundi yasiyofaa yafanyayo biashara isiyo halali ambayo itampelekea kny matatizo
 
Nimesoma sijakuelewa.

Weka picha tukuelewe.
 
hahahahaha nilikuasijacheka hivi tangu asubuhi daH cHEZEA JAMII FORUM
 
hiyo ni dalili kuna tatizo litampata mtu wa karibu yako na wewe utatoa rushwa ili kumaliza hilo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…