Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Nimeota mimi mwenyewe na niliwahi kuiota pia, hii ni kama mara ya 2 au 3,iko hivi;

inatokea magari wawili ya kubebea pesa yanapinduka(ni katika mji ambao sijawa kuuona ila mazingira na matukio kati ya ndoto hii na zilizopita yanafanana), watu wengi wanaenda kuokota pesa ambazo ni dollar lakini mimi siendi naendaelea kutembea, baadae wenzangu wawili niliokuwa nao lakini walienda kuokota dollar wanarudi nazo na wananipa nyingine niwashikie wao wananipa dollar 250 zote walizokuwa nazo na wanabaki na dollar ambazo ni dollar 20, 10 na nyingine lakini hakuna kubwa kufikia note za dollar 250 aliyenipa hela nishike ni mtu niliyesoma nae chuo kikuuna huyu mwingine ni ndugu yangu na inaoneka walikubaliana wagawane baadae, mtende inaonekana anataka kama baadadhi ya note za dollar 250 anataka kumdhulumu ndugu yangu,natambua hilo kwa kumwangalia machoni na mm nakuwa kama nimekubaliana nae.

Mimi naelekea mahali pengine na wao pengine kwa miadi ya kukutana baadae, mimi naangaika na kutafuta bar hili nile ghafla rafiki yangu ananipigia simu kuwa niende kuongea na simu kwenye jengo alimokuwa ambalo ni kama benki kuu hivi ananitajia jina la mtu anayetaka kuongea na mimi, ni mtu ambaye nimemfaham kupitia ndoto niliyoota before ndoto hii kwa maana ndoto zilipandana na siikumbuki hiyo ndoto ila nakumbuka kuwa namfahamu huyo jamaa, namwambia rafiki yangu a-transfer call kwenye simu yangu ya kiganjani lakini anakataa na mimi namuona kwa kuwa jengo lilikuwa mbele yangu, wakati naenda kuwaona nilitereza nikaingia kwenye dimbwi dogo la matope machafu sana na kunauwezekano tope likawa limechanyika na mavi. Sandles zangu zinapotelea humo, natoka humo nafika ili kuongea na simu kumbe ni mtego wale wenzangu walikuwa wameshikwa na walitumika ili na mimi nishikwe,wakati nashuka na watu wa benki kwenda ukaguzi na dollar ninazo mfuko nafkria nifanye nn mara ndugu yangu ananipa 12,000 ni niwape wakaguzi wasinifunge, wakati nafikiria udogo wa 12,000 huku nazipokea nikawa najaribu kutoa hizo dollar nimpe ndugu yangu ili nisikutwe nazo ikawa inaniwia viggumu na ndoto ikaisha.

Naombeni tafsiri wana jamvi,si mara ya kwanza kuiota, si kila mtu ana kipawa cha kutafsiri ndoto na ipo mpaka kwenye vitabu vitakatifu, mimi nimeshindwa kuielewa naomba mwenye kuielewa anisaidie

ndoto zote ni mwili unajiongelesha. mwili huwa unajiongelesha kuhusu mafikirio yake katika ngazi ya roho, katika ngazi ya akili, na katika ngazi ya hali halisi. Haya mambo yanapoanza kutafakariwa kwenye sub-consious ndo unaona ndoto. Kwenye sub-consious ni eneo la mawazo ambalo halina utashi kama uliopo katika mafikirio ya hali halisi. Ni mafikirio katika hurka ya mwanadamu iliyojificha. Ukitaka kujua hilo lalia mkono wako uwe unaumia katika uzingizi. Hapa mwili utaanza kujiongelesha kuhusu tatizo hilo na utapata ndoto ya jinamizi.

Wewe una tamaa ya utajiri kupindukia lakini hujatangaza tamaa hiyo kwa uwazi kama vile wanvyofanya wabunge kule Dodoma. Tamaa yako imejificha inazungumzwa tu kwenye sub-consious. Nakushauri tafufa kazi ya kufanya inayokupa kipato fulani na ridhika na unachokipata. Bila hivyo kuna siku utafanya ujambazi au wizi wa aina nyingine. Mwili wako unajiongelesha kitu ambacho kama kisipopatikana unaweza ufanye lolote kukipata.
 
Nimeota mimi mwenyewe na niliwahi kuiota pia, hii ni kama mara ya 2 au 3,iko hivi;

inatokea magari wawili ya kubebea pesa yanapinduka(ni katika mji ambao sijawa kuuona ila mazingira na matukio kati ya ndoto hii na zilizopita yanafanana), watu wengi wanaenda kuokota pesa ambazo ni dollar lakini mimi siendi naendaelea kutembea, baadae wenzangu wawili niliokuwa nao lakini walienda kuokota dollar wanarudi nazo na wananipa nyingine niwashikie wao wananipa dollar 250 zote walizokuwa nazo na wanabaki na dollar ambazo ni dollar 20, 10 na nyingine lakini hakuna kubwa kufikia note za dollar 250 aliyenipa hela nishike ni mtu niliyesoma nae chuo kikuuna huyu mwingine ni ndugu yangu na inaoneka walikubaliana wagawane baadae, mtende inaonekana anataka kama baadadhi ya note za dollar 250 anataka kumdhulumu ndugu yangu,natambua hilo kwa kumwangalia machoni na mm nakuwa kama nimekubaliana nae.

Mimi naelekea mahali pengine na wao pengine kwa miadi ya kukutana baadae, mimi naangaika na kutafuta bar hili nile ghafla rafiki yangu ananipigia simu kuwa niende kuongea na simu kwenye jengo alimokuwa ambalo ni kama benki kuu hivi ananitajia jina la mtu anayetaka kuongea na mimi, ni mtu ambaye nimemfaham kupitia ndoto niliyoota before ndoto hii kwa maana ndoto zilipandana na siikumbuki hiyo ndoto ila nakumbuka kuwa namfahamu huyo jamaa, namwambia rafiki yangu a-transfer call kwenye simu yangu ya kiganjani lakini anakataa na mimi namuona kwa kuwa jengo lilikuwa mbele yangu, wakati naenda kuwaona nilitereza nikaingia kwenye dimbwi dogo la matope machafu sana na kunauwezekano tope likawa limechanyika na kinyesi. Sandles zangu zinapotelea humo, natoka humo nafika ili kuongea na simu kumbe ni mtego wale wenzangu walikuwa wameshikwa na walitumika ili na mimi nishikwe,wakati nashuka na watu wa benki kwenda ukaguzi na dollar ninazo mfuko nafkria nifanye nn mara ndugu yangu ananipa 12,000 ni niwape wakaguzi wasinifunge, wakati nafikiria udogo wa 12,000 huku nazipokea nikawa najaribu kutoa hizo dollar nimpe ndugu yangu ili nisikutwe nazo ikawa inaniwia viggumu na ndoto ikaisha.

Naombeni tafsiri wana jamvi,si mara ya kwanza kuiota, si kila mtu ana kipawa cha kutafsiri ndoto na ipo mpaka kwenye vitabu vitakatifu, mimi nimeshindwa kuielewa naomba mwenye kuielewa anisaidie

Umesoma chuo gan??madrasa au,mbona uandish wako hauonyesh km una elimu ya juu??hata mim ambae sijasoma naweza kuandika better than wew..jifunze kwa wengine jinsi wanavyoandika
 
UNAFANYA KAZI GANI? Uko kwenye hatari ya kujichafua kwa kujishughulisha na shughuli haramu kwa kushawishiwa na wenzio kwa sababu ya tamaa uliyonayo ya mafanikio.....kaa chonjo.
 
tayta tuwekee picha

images
 
Utakutana na sultan ukiwa katika mazingira tata na atakuhonga madollars mengi sana na utamzingua kwakua kum approach mwanaume aliye rijari ni kazi nae alitegemea 065 kama kumpa fadhila atakupeleka polisi na kukupa kesi ya wizi wa uaminifu nawe hutaki makuu ndugu yangu unaamua kumpa kabaang. Hilo co tope unalofirkiria ni kinyesi chako baada ya kubanduliwa.
 
jarbu sana kujiepusha na tabia chafu za tamaa ktk kaz yko, mshrkshe mungu rdhika na kpato chako, hizo ni dalili tu'
 
UNAFANYA KAZI GANI? Uko kwenye hatari ya kujichafua kwa kujishughulisha na shughuli haramu kwa kushawishiwa na wenzio kwa sababu ya tamaa uliyonayo ya mafanikio.....kaa chonjo.

umenitisha,mimi nimejiajiri,nina biashara binafsi na hazina mwelekeo wa kuwa na usharika wa kibiashara kufikia hapo,lakini nitazingatia ushauri wako mkuu
 
....kijana unahitaji maombi haraka sana...huyo ni jini mahaba anakunyemelea,hakikisha kabla ya kulala unapiga mswaki....

mkuu,tafadhali,unaweza kufafanua zaidi?hela,dhuluma,kukaguliwa na dimbwi la uchafu,haya kuyausisha na jini ndo kichwa kinauma
 
ndoto zote ni mwili unajiongelesha. mwili huwa unajiongelesha kuhusu mafikirio yake katika ngazi ya roho, katika ngazi ya akili, na katika ngazi ya hali halisi. Haya mambo yanapoanza kutafakariwa kwenye sub-consious ndo unaona ndoto. Kwenye sub-consious ni eneo la mawazo ambalo halina utashi kama uliopo katika mafikirio ya hali halisi. Ni mafikirio katika hurka ya mwanadamu iliyojificha. Ukitaka kujua hilo lalia mkono wako uwe unamia katika uzingizi. Hapa mwili utaanza kujiongelesha kuhusu tatizo hilo na utapata ndoto ya jinamizi.

Wewe una tamaa ya utajiri kupindukia lakini hujatangaza tamaa hiyo kwa uwazi kama vile wanvyofanya wabunge kule Dodoma. Tamaa yako imejificha inazungumzwa tu kwenye sub-consious. Nakushauri tafufa kazi ya kufanya inayokupa kipato fulani na ridhika na unachokipata. Bila hivyo kuna siku utafanya ujambazi au wizi wa aina nyingine. Mwili wako unajiongelesha kitu ambacho kama kisipopatikana unaweza ufanye lolote kukipata.

naishukuru jf na nakushukuru na wewe pia,kwajinsi ulivyolichambua hili jambo hakika ni dhahiri,ni kweli nina ambition ya mafanikio kupita kiwango cha kawaida,ila tangu nazaliwa sijawahi kufikiria kupata mali kwa njia isiyo halali,nimeshawahi kujitoa kwenye mradi tulioanzisha na wenzangu ambao ulikuwa wa hela nyingi sababu kubwa ikiwa niliona kuna njia za udanganyifu wenzangu wanataka kuzitumia,sijawahi kuiba hata cent wala kufikiria kufanya hivyo,nina uamnifu wa hali ya juu,lakini naheshimu hapo uliposema sijawahi kutangaza,hakuna anayejua ambition zangu,ni mimi mwenyewe tu
 
Utakutana na sultan ukiwa katika mazingira tata na atakuhonga madollars mengi sana na utamzingua kwakua kum approach mwanaume aliye rijari ni kazi nae alitegemea 065 kama kumpa fadhila atakupeleka polisi na kukupa kesi ya wizi wa uaminifu nawe hutaki makuu ndugu yangu unaamua kumpa kabaang. Hilo co tope unalofirkiria ni kinyesi chako baada ya kubanduliwa.

duuuh,kweli wewe pakaya
 
ndoto zote ni mwili unajiongelesha. mwili huwa unajiongelesha kuhusu mafikirio yake katika ngazi ya roho, katika ngazi ya akili, na katika ngazi ya hali halisi. Haya mambo yanapoanza kutafakariwa kwenye sub-consious ndo unaona ndoto. Kwenye sub-consious ni eneo la mawazo ambalo halina utashi kama uliopo katika mafikirio ya hali halisi. Ni mafikirio katika hurka ya mwanadamu iliyojificha. Ukitaka kujua hilo lalia mkono wako uwe unamia katika uzingizi. Hapa mwili utaanza kujiongelesha kuhusu tatizo hilo na utapata ndoto ya jinamiz
Wewe una tamaa ya utajiri kupindukia lakini hujatangaza tamaa hiyo kwa uwazi kama vile wanvyofanya wabunge kule Dodoma. Tamaa yako imejificha inazungumzwa tu kwenye sub-consious. Nakushauri tafufa kazi ya kufanya inayokupa kipato fulani na ridhika na unachokipata. Bila hivyo kuna siku utafanya ujambazi au wizi wa aina nyingine. Mwili wako unajiongelesha kitu ambacho kama kisipopatikana unaweza ufanye lolote kukipata.

Naunga mkono hoja,umesema ukweli, tena itakuwa katika biashara afanyayo anapata fursa nzuri za kujikuza kiuchumi lakini anazipuuzia,kama ulivyosema inabidi ajitahidi kujiepusha na makundi yasiyofaa yafanyayo biashara isiyo halali ambayo itampelekea kny matatizo
 
Utakutana na sultan ukiwa katika mazingira tata na atakuhonga madollars mengi sana na utamzingua kwakua kum approach mwanaume aliye rijari ni kazi nae alitegemea 065 kama kumpa fadhila atakupeleka polisi na kukupa kesi ya wizi wa uaminifu nawe hutaki makuu ndugu yangu unaamua kumpa kabaang. Hilo co tope unalofirkiria ni kinyesi chako baada ya kubanduliwa.
hahahahaha nilikuasijacheka hivi tangu asubuhi daH cHEZEA JAMII FORUM
 
hiyo ni dalili kuna tatizo litampata mtu wa karibu yako na wewe utatoa rushwa ili kumaliza hilo tatizo
 
Back
Top Bottom