Nini tofauti kati ya Roman Empire waluomsulubishq Yesu, na Kanisa Katoliki (Roman Catholic Church?)

Nini tofauti kati ya Roman Empire waluomsulubishq Yesu, na Kanisa Katoliki (Roman Catholic Church?)

Wapendwa wadadavuzi na wadadisi, great thinkers, wa hapa JamiiForums na hata visitors nawasihi tuache porojo, tuzame ndani kwenye kuusaka ukweli.

Hii naamini ni mada mbegu itakayo ibua mjadala mpana .

Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume, Pascal Mayalla, Infantry Soldier karibuni tujadiliane.
Hapa hakuna kitu!, nil!. Waliomsulubisha Yesu sio Warumi!.
Yesu alisulubishwa na Mayahudi (Jews) kwa mamlaka ya Ponsio Pilato.
Hekalu la kwanza lilikuwa Constantinople Uturuki, Mtawala wa Rumi akalivamia, aka loot everything, akalivunja hekalu, ile loot ikapelekwa Roma, ndio wakajengea St. Peter Basilica na kuanzisha Roman Catholic Church.
P
 
Back
Top Bottom