Nini tofauti ya maendeleo na mafanikio? Je wewe una mafanikio au una maendeleo?

Ukiweza kujibu hili swali utapata jibu lako
Je ukiwa na yesu ni mafanikio au maendeleo.
Kuwa Na Yesu sio mafanikio, wala sio maendeleo. Kuwa na Yesu ni kuwa na amani ya moyo tu. Ndio maana tunasema nikimpata Yesu nimepata vyote, kwani katika vyote tunavyivitafuta ni amani ya moyo
 
 
Hii ni changamoto yangu kwako Leo. Jipime.
Je una mafanikio au una maendeleo?

Je Kati ya mafanikio na maendeleo yako ni kipi kinakupa furaha?
Mafanikio ni pale unapoweza kuchukuwa livu ya mwezi mmoja na kazi zako zikajiendesha bila wewe kuwepo na wala kuuliza au kuulizwa chochote kuhusu kazi hizo.

Maendeleo ni pale jana ulikuwa huna tofari, leo ukawa na tofari moja, kesho ukawa na uwezo wa kufikiria kuongeza lingine na kesho kutwa unafikiria kuongeza mawili kwa pamoja.

Upo hapo ulipo?
 
Ufafanuzi mzuri
 
Success versus development

Mambo yote haya huwa hayan definition ya moja kwa moja Ila ni MTU mwenyewe huamua kusema haya ni maendeleo na haya ni mafanikio.

Binafsi Mimi mafanikio (success) ni vile vitu ambayo PESA haiwezi kununua mfano Elimu yangu that is my success becouse I never spent a lot of money to get it.

Love
Affection
Kindness
Compassion
Humility
Serenity.
Health

Pia napowafanyia watu positive stuffs hayo ni mafanikio to take care of my family Mom ,father and so on

Charity , tithing .n.k

Ila maendeleo ni mambo yote ambayo yanapatikana kwa pesa nyumba gari , viwanja ,biashara ,Kazi n.k


Kwa kuhitimisha dunia inahitaji mafanikio yako zaidi kuliko maendeleo yako hivyo ukiwa unataka kuacha legacy jikite katika mafanikio na sio maendeleo.

Success is intangible but development is tangible.

Mafanikio kwa macho hayaobekani Ila maendeleo yanaonekana.
 
Je una maendeleo au una mafanikio? Kipi kinakuoa furaha zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…