Nini tofauti ya Muhimbili na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

Nini tofauti ya Muhimbili na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,233
Reaction score
51,648
Haya majina mawili yachanganya watu, huenda kupitia hapa wengi wanaweza kujifunza jambo. Kwamfano nimeiona hii👇

20250318_083035.jpg
 
MNH inadili na magonjwa mchanganyiko ikiwamo ya Moyo.

JKCI inadili na Magonjwa ya Moyo tu, tena yale yanayohitaji "Advanced Treatment".

MOI inadili na mifupa tu.
 
MNH inadili na magonjwa mchanganyiko ikiwamo ya Moyo.

JKCI inadili na Magonjwa ya Moyo tu, tena yale yanayohitaji "Advanced Treatment".

MOI inadili na mifupa tu.
🙏
 
Back
Top Bottom