Nini ukikipata maishani utaridhika na kuona kwamba ndoto zako zimetimia?

Nini ukikipata maishani utaridhika na kuona kwamba ndoto zako zimetimia?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.

Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.

victory.jpg
 
Siamini katika ndoto maana ndoto ni matokeo ya kulala, naamini katika mipango, mambo niliyopanga kama MUNGU akinijaalia neema ya kazi ya mikono yangu, nikayatimiza niliyoyapanga nitakuwa nimefikia malengo yangu.
 
Ndoto as in maono, ambayo ni kweli hayawezi kutimia bila mipango madhubuti.
All the best mpwa 🫶
 
ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi
akili

1.
uwezo wa kuelewa na kujifunza mambo

2.uwezo wa kufikiri na kuamua kwa busara

hekima

maarifa yaliyopatikana kutokana na uzoefu wa muda mrefu

busara

akili au werevu wa kuweza kufikiria na kuamua kutenda jambo linalofaa

maarifa

elimu, ujuzi

Kwahiyo huna akili?mkuu
 
Back
Top Bottom