Mambaz 24 jr
JF-Expert Member
- Aug 25, 2023
- 696
- 1,424
Kuna mchongo nime uset ukitick huo bs nitakua nimetoboa😀
I wish that for you, and I hope it comes true someday soon. All the best!Kuacha legacy hata baada ya miaka mia mbili ijayo iwe bado na impact kwa watu
Limeisha hilo, andaa njaa tu!Mboga za majani ,samaki mbichi , maharage ugali muhogo ,na ka glass ka maziwa , na kilimanjaro ya baridi pembeni😁
Unapata nini kwenye hayo matako.makubwa nnya?Hela,
Hela,Hela
Hela,Hela,Hela
Mwanamke mwenyewe matako makubwa
Usafiri
💯 🙌 ikawe hivyoFinancial freedom
Thank youI wish that for you, and I hope it comes true someday soon. All the best!
Unataka utimize ndoto zangu?Limeisha hilo, andaa njaa tu!
Kama mimi tuSiku nakata roho ( kufa)ndio ndoto zangu zitakua zimetimia.
Ni kweli, hata tukipata tunataka zaidi.Binadamu huwa haturidhiki hata siku moja
Nipate na lishangazi limoja swafiii kabsa lenye T3 😂💯 🙌 ikawe hivyo
Umefika, nilijua tu lazima utakuja na mambo yako ya kufa kufa.Kama mimi tu
Mgumu, na ikawe hivyo 💯🙌Kupata faida ya laki 5 kwa siku
Naambiwa Tanga kuna wachawi ,mbona hwanirogi nikafa mpaka nazeeke..Kila kitu almost ninacho ,ila sina furaha ..Umefika, nilijua tu lazima utakuja na mambo yako ya kufa kufa.
Ndoto yako lazima ikutishe kidogo, uko kwenye njia sahihi.Ndoto yangu ni kubwa kuliko uwezo wangu, siwezi kusema hapa, naipambania Kwa Nguvu nyingi Ili niitimize. Siku nikitimiza nitakuja kwenye huu Uzi kutoa ushuhuda.
All the best future mheshimiwa, pambania tu ndoto yako.Nikiwa Mbunge,waziri,waziri mkuu,makam was Rais na Rais wa jamhuri wa Muungano Tanzania!aiseh nimemaliza kabisa Wala sitomdai Mungu chochote kabisa!!
Namna ya kupenya sasa ndio kazi hasa katika kipindi hiki ambacho pesa ndio Kila kitu wala sio hoja!!