Intricate
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 403
- 1,255
boloUnataka awe anaomba nini?
boloUnataka awe anaomba nini?
AfyaNaamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.
Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
View attachment 3320506
Yani mnoFascinating 😅
So kula, kushiba, kufa - in that order.
Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.
Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
View attachment 3320506
Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.
Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
View attachment 3320506
Ndoto yangu ni kubwa kuliko uwezo wangu, siwezi kusema hapa, naipambania Kwa Nguvu nyingi Ili niitimize. Siku nikitimiza nitakuja kwenye huu Uzi kutoa ushuhuda.Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.
Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
View attachment 3320506
Nikipata Mercedes Benz s680 MaybachNaamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.
Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
View attachment 3320506
Na ikawe hivyo 🙏Afya
Haya, unapenda kula nini nikutoe out leo, nikutimizie moja ya ndoto zako 😂😂😂Yani mno
Kweli mkuu,Binadamu huwa haturidhiki hata siku moja
Vitu muhimu sana, nakutakia kila lililo la kheri, malengo na ndoto zako zikatimie siku moja.1:Uhakika wa kula
2:Bima ya afya
3:Nyumba
4:Mwenza tuliyeshibana
5: Watoto kadhaa
6: Usafiri
7: Mavazi
8😛esa za ziada
Mboga za majani ,samaki mbichi , maharage ugali muhogo ,na ka glass ka maziwa , na kilimanjaro ya baridi pembeni😁Haya, unapenda kula nini nikutoe out leo, nikutimizie moja ya ndoto zako 😂😂😂