Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Ila wewe kijana wa Manyara 😂 😂 unashida gani kwani mpaka ndoto yako iwe kufa?Siku nakata roho ( kufa)ndio ndoto zangu zitakua zimetimia.
Hiyo sio ndoto yangu peke yangu ni ya wote sema mnajitoa ufahamu tu.Ila wewe kijana wa Manyara 😂 😂 unashida gani kwani mpaka ndoto yako iwe kufa?
Hii nenda nyumba za kuhifadhia maiti ndoto zako zitatimia chap tu mkuuKupata demu asieomba hela.
Ndoto as in maono, ambayo ni kweli hayawezi kutimia bila mipango madhubuti.Siamini katika ndoto maana ndoto ni matokeo ya kulala, naamini katika mipango, mambo niliyopanga kama MUNGU akinijaalia neema ya kazi ya mikono yangu, nikayatimiza niliyoyapanga nitakuwa nimefikia malengo yangu.
ridhikani vitu gani ukivipata
Hapana, kufa siyo ndoto yangu kabisa. Kuacha watoto wangu na familia yangu, hapana.Hiyo sio ndoto yangu peke yangu ni ya wote sema mnajitoa ufahamu tu.
Tunazaliwa ili tufe ,yani mafanikio ya kuzaliwa ni kufa ,tumbo ni moja tu ,basi ndoto yangu nikishaamka nile nishibe tu.Hapana, kufa siyo ndoto yangu kabisa. Kuacha watoto wangu na familia yangu, hapana.
ila it's inevitable, ndiyo mwisho wetu wote.
Ukiacha kutukana tukana na kutoa maneno ya hovyo, nitafute.Niki_kupata wewe😎
Poa mamaUkiacha kutukana tukana na kutoa maneno ya hovyo, nitafute.
Unataka awe anaomba nini?Kupata demu asieomba hela.
akilini vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi
Kwahiyo huna akili?mkuuakili
1.uwezo wa kuelewa na kujifunza mambo
2.uwezo wa kufikiri na kuamua kwa busara
hekima
maarifa yaliyopatikana kutokana na uzoefu wa muda mrefu
busara
akili au werevu wa kuweza kufikiria na kuamua kutenda jambo linalofaa
maarifa
elimu, ujuzi
Fascinating 😅Tunazaliwa ili tufe ,yani mafanikio ya kuzaliwa ni kufa ,tumbo ni moja tu ,basi ndoto yangu nikishaamka nile nishibe tu.
akiliKwahiyo huna akili?mkuu