Nini ukikipata maishani utaridhika na kuona kwamba ndoto zako zimetimia?

Nikipata mshangazi kutoka jf
Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.

Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.

View attachment 3320506

Ndoto yangu ni kubwa kuliko uwezo wangu, siwezi kusema hapa, naipambania Kwa Nguvu nyingi Ili niitimize. Siku nikitimiza nitakuja kwenye huu Uzi kutoa ushuhuda.
 
Nikiwa Mbunge,waziri,waziri mkuu,makam was Rais na Rais wa jamhuri wa Muungano Tanzania!aiseh nimemaliza kabisa Wala sitomdai Mungu chochote kabisa!!

Namna ya kupenya sasa ndio kazi hasa katika kipindi hiki ambacho pesa ndio Kila kitu wala sio hoja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…