Nini ukikipata maishani utaridhika na kuona kwamba ndoto zako zimetimia?

Ndoto yangu ni kubwa kuliko uwezo wangu, siwezi kusema hapa, naipambania Kwa Nguvu nyingi Ili niitimize. Siku nikitimiza nitakuja kwenye huu Uzi kutoa ushuhuda.
Ndoto yako lazima ikutishe kidogo, uko kwenye njia sahihi.
Kwa dhati kabisa, nakutakia kila la kheri ikatimie na urudi hapa kutoa ushuhuda.
 
All the best future mheshimiwa, pambania tu ndoto yako.
Penye nia pana njia siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…