Mycojkhan
JF-Expert Member
- Jul 12, 2024
- 803
- 1,498
Hakika sitasahu Hii kitu, Nilijiamini Mimi Mwenywe Nikamuamini Na Huyo Mwanamke,Nikashiriki nae Tendo bila ya kutumia Kinga
Nikawa wa moto kwenye Mechi Nachapa Miguu yote Mara Nashika dimba Mara Nafunga Magoli ya kichwa Mpaka la Mkono Nikaitendea vizuri Mechi
Kumbe upandacho Ndio Uvunacho Bada ya Kumaliza kila kitu ,Kesho yake nikaugua Mchoko+UTi+Gono, nilikonda Week Nzima Nikaugua.
Wakuu Nilijutia sanaa Kupata UTI iliyokomaa na Gono Sugu