Nini ulijutia Baada ya Kufanya Ngono zembe?

Nini ulijutia Baada ya Kufanya Ngono zembe?

Mycojkhan

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2024
Posts
803
Reaction score
1,498
Hakika sitasahu Hii kitu, Nilijiamini Mimi Mwenywe Nikamuamini Na Huyo Mwanamke,Nikashiriki nae Tendo bila ya kutumia Kinga

Nikawa wa moto kwenye Mechi Nachapa Miguu yote Mara Nashika dimba Mara Nafunga Magoli ya kichwa Mpaka la Mkono Nikaitendea vizuri Mechi

Kumbe upandacho Ndio Uvunacho Bada ya Kumaliza kila kitu ,Kesho yake nikaugua Mchoko+UTi+Gono, nilikonda Week Nzima Nikaugua.

Wakuu Nilijutia sanaa Kupata UTI iliyokomaa na Gono Sugu
 
Duuuuh. Me nlitumia condom katkat ya mechi condom ziliisha (6pcs)

Nkasema bora nile Tigooo cz hakuna Gono wala UTI. Kumbe nlikua najidanganya, Baada ya siku 2 nlianza kukojoa Damu mwanzo mwsho. Nlitumia Azuma Dose 2 mfululizo kwa siku 6. Ndio nkapona
 
Duuuuh. Me nlitumia condom katkat ya mechi condom ziliisha. (6pcs)
Nkasema bora nile Tigooo cz hakuna Gono wala UTI. Kumbe nlikua najidanganya, Baada ya siku 2 nlianza kukojoa Damu mwanzo mwsho. Nlitimia Azuma Dose 2 mfululizo kwa siku 6.
Polee sanaa Mkuu
 
Back
Top Bottom