Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kabla ya hayo maporojo na mastori meeeengi lazima kibaraka adhibitiwe na kukabiliwa vizuri. hilo ni jambo la maana na muhimu zaidi la mwanzo 🐒Huu ndio upeo wa elimu ya Watanzania! Eti puppets wa Magharibi hawawezi kufanya chochote Tanzania! Huyo anayesema hivyo hajui hata Tanzania inapata asilimia ngapi katika dhahabu yake inayoibiwa. Na jee, Tanzania inatoa kiasi gani cha dhahabu kwa mwaka? Hata Samia hajui.
Capt Ibraim Traore wa Burkina Fasso amewafukuza wachimbaji wote wa kigeni nchini mwake: Wafaransa, Warusi, Wa Canada....kwa kugundua nchi yake inapoteza dola milioni 16 kwa mwezi kutokana na mchezo wa watu hawa. Milioni 16 ni zaidi ya bajeti ya mwaka ya Wizarara ya Elimu ya Burkina Fasso (nadhani hata Tanzania)! Moja ya mbinu ni pamoja na kusafisha dhahabu nje ya nchi (ambayo bado inaendelea Tanzania), kughushi uzito wa mzigo na kukwepa kodi. Yote haya yanaenderlea Tanzania, hadi Umoja wa Mataifa hivi karibuni umetoa wito kwa Tanzania kuweka mkazo zaidi katika kudhibiti utajiri wake wa madini! Halafu wewe (nadhani chawa au mtendaji) waja hapa kupiga porojo!
Hebu jaribu tu kuiuliza serikali: tunatoa tani ngapi za dhahabu (tu) kwa mwaka? Katika dhahabu hiyo, kiasi gani tunakiweka hifadhi ili kuzaziti sarafu yetu? Kisha uje uandike hapa!
umeongea vizur sana kuhusu Burkina Faso....
Na Ukweli wa mambo ni kwamba Capt.Ibra, kiongozi kijana makini sana wa Burkina Faso, amewafukuza mabwenyenye wa ufaransa waliokaribishwa na vibaraka wao ambao walikua watawala wa awali, kitu ambacho hapa Tz, huyo kibaraka na mamluki wake nadhani hata wewe una sura na tabia za kimercenary hatutakubali mfanye chochote au mjipenyeze kivyovyote vile humu nchini 🐒
hilo haitawezekana hata kidogo 🐒