Nini umuhimu wa ziara ya Rais Samia Ufaransa?

Kwani safari zingine alizofanya zina faida gani πŸ€”πŸ€” ni muendelezo wa kuzurula tuu, bandari na ardhi vimeuzwa ujombani uarabuni sasa hivi ni bata kwa kwenda mbele hadi kuku waone wivu, lakini vina mwanzo na mwisho
 
Hii ziara ni yakutizama kwa jicho kavu, hawa wafaransa sio watu wema, mama wakiuliza una uraniam kataa katakata waambie haipo, wakisema una lithiam waambie sidhani, waambie tunao simba nyati twiga swala na ile great nyumbu migration wanaweza kuja kutalii ila sio kuondoka nao, waambie kipo kisiwa cha chumbe pale panafaa sana kwa vacation, wakiuliza wale jamaa zetu wa lgbt waambie wana kajiuchaguzi kao ka ndani kanawatia hofu, ngoja wamalize,
 
Mikutano kama hii bila M7 na paka ni makongamano tu
 

Anatafuta wateja.

Nadhani Mlima Kilimanjaro bado haujapata mteja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…