The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mbona hauwi specific? Yani sumu iwekwe kwenye maziwa kisha hiyo sumu isimdhuru?Hakuna lolote litalalompata huyo atakayekunywa hayo maziwa
Kwani unaongelea sumu aina ipi? Coz kuna sumu hata unywe debe la maziwa lazima ikuondoe.