Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

Gari ni muhimu... Ila haliingizi chochote. Zaidi ya kukumaliza tu.

Bajaji ikipiga mishe vizuri kwa wiki naweza kuwa naweka kibindoni 150K na dereva anajilipa vizuri.

Ushauri wenu.. MONEY IN A BANK.
Gari litakuingizia faida pia kwani huwezi kulifanya bolt, au unadhani bajaji peke ake ndo inaingiza choro.
 
Ukiwa na gari mjini hapa huwezi kukosa hela labda uwe mtu wa kujiona. Nunua gari sajili namba za biashara, kisha jisajili bolt n ufanye kazi muda wa ziada na weeknd. Kama utaweza kukomaa usiku hela ni nyingi mno hivyo itakua ni gari ya kutembelea na itaweza kukuingizia kipato cha ziada. Huwezi kosa laki+ kwa week na gari itajihudumia.
 
Biashara ya transportation inawafaa zaidi watu wenye chombo zaidi ya kimoja.

Simshauri mtu kuingiza million 7.5 yake Kwa ajili ya bajaji moja.

Ni bora hata pikipiki ukaisajili Ubber unaingia mkataba na driver.
Damnwtf? Yani Bajaj ishafika million 7 wakati nilipoondoka bongo ilikuwa laki tisa!
 
Back
Top Bottom