Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

Nilinunua IST kuifanya Uber/Bolt nilichokutana nacho mwaka wa nne huu naiendesha Mwenyewe kwenye shughuli zangu. Biashara ya transport madereva ni pasua kichwa inatakiwa mmiliki uwe pasua kichwa zaidi yao ndiyo utatoboa
Mkuu nipe hiyo gari kwa mkataba, hutojutia
 
Nunua bajaji njoo dm unipe nipe mkataba wa miaka miwili unapata vyote tena gari na bajaji njoo dm tuongee uzuri.
 
Gari ni muhimu... Ila haliingizi chochote. Zaidi ya kukumaliza tu.

Bajaji ikipiga mishe vizuri kwa wiki naweza kuwa naweka kibindoni 150K na dereva anajilipa vizuri.

Ushauri wenu.. MONEY IN A BANK.
Mbona majibu unayo?
 
Mimi nauza bajaji namba BCY mil 2.5, iko vizuri karibuni kwa namba 0688066177
 
Back
Top Bottom