Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

Ninunue bajaji iniingizie pesa au ninunue gari nami nionekane mtu ila linitese?

........Jamaa yeye kashaconclude kuwa biashara ya bajaji ni guaranteed faida ipo na hatateseka(yaleyale ya mishe za matikitimaji).......mi ningeshauri pesa aipeleke kwenye kile alichopanga kukifanya wakati anaitaifuta hiyo hela.......au akomae na hiyo business iliyomletea hiyo pesa......na kama hiyo pesa ni ya ghafla basi ahakikishe anapata business idea nyingi na maelezo ya kutosha kuhusu uendeshaji, changamoto na utatuzi wake then ndo achague moja ajilipue.....
 
Back
Top Bottom