Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

Yule ni abnormalπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu huo ni ukubwa wa enjine
1490cc =1.5L
1990/2000cc = 2.0L
1790/1800cc = 1.8L

Ni ukuvwa wa engine kima kenikia na mafuta kinyume utumie cc au mfumo huo
X 1.5L ni kipimo cha nini au inatofautiana na 1.8L katika nn?
 
Nunua BMW X 7 mkuu ni Bora Zaidi
 
Mkuu huo ni ukubwa wa enjine
1490cc =1.5L
1990/2000cc = 2.0L
1790/1800cc = 1.8L

Ni ukuvwa wa engine kima kenikia na mafuta kinyume utumie cc au mfumo huo
Asante,
 
Hata premio fuel consumption ipo normal
 
Pia Premio lina muonekano mzuri zaidi
 
Ipi kati ya X,F na G ina zigzag gear pale kwenye gear knob
 
chukua Corolla Altis

Altis aint for JDM or africa


Hapo ndo utaona utoufauti wa technology

Umeme wa mule haupishani na wajerumani

Kwanza chuma top speed yake 240+km/h

So issue ya maintenance usiichukulie corrolla altis kama hizi corolla polisi[emoji28]
 
Altis aint for JDM or africa


Hapo ndo utaona utoufauti wa technology

Umeme wa mule haupishani na wajerumani

Kwanza chuma top speed yake 240+km/h

So issue ya maintenance usiichukulie corrolla altis kama hizi corolla polisi[emoji28]
kweli mkuu chuma nimeipanda juzi ilikuwa IT dah sio mchezo ikabidi niliposhuka kuangalia ni corola nikajiuliza hii ni corola gani ya hivi? hahah
 
mwenyewe unakili G hujui halafu unasema sio kweli, ni nini ambacho sio kweli hapo?
Nimejenga hoja kwakuw najua kuhus x na F , ikiwa maelekezo yako yapshana na yangu kiuelewa na kuhus G sijui , nikiw najua viwili kuhus ulivyotaja nitofaut mimi nimejenga hoja wew leta maneno yako sasa

Zaid nimesoma huku Google wanamalekezo kuwa
X- Xtreme
F-....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…