Ninunue gari ipi Mazda CX-5, Forester, Mitsubishi outlander,xtrail new moder

Nimegundua baadhi ya member huwa WANAJAMBISHA wakijifanya wananunua magari kumbe ni wazushi Tu...
Kuna member mmoja kilasiku kazi yake kuulizia magari kumbe ni mzushi Tu hata Jana amewachosha watu na Subaru au outlander..
Wiki iliyopita alikuwa anaulizia gari la budget ya million 4 wakati miezi miwili ya nyuma alikuwa anahitaj discovery 4
 
Mambo ya humu ndivyo yalivyo,kesho utamkuta kwny ule uzi wa kugombea vocha ya buku.
 
Nimegundua baadhi ya member huwa WANAJAMBISHA wakijifanya wananunua magari kumbe ni wazushi Tu...
Kuna member mmoja kilasiku kazi yake kuulizia magari kumbe ni mzushi Tu hata Jana amewachosha watu na Subaru au outlander..
Wiki iliyopita alikuwa anaulizia gari la budget ya million 4 wakati miezi miwili ya nyuma alikuwa anahitaj discovery 4
Wanaokuja inbox kutaka hizo gari za SA kumbe yupo zake chini ya mbuyu hana hata mpango unaweza kuwa serious wakati anajua anakupotezea muda tu..
 
Budget yako.

Kama upo chini ya 30m 2012-2014
Am kama unaweza kusogea hadi 35m 2015 na 2016
Kama unaweza kwenda Mil 40 chukua 2017 aisee
Habari kaka.
Mfano mtu anakuomba ushauri anataka achukue gari mojawapo kati ya hizi chini, utashauri ipi.
Ukiangalia list ya hizi gari bila shaka unapata picha mtu huyo ana kipato cha kati. Hanunui gari anayotamani, bali atayoweza kuimudu. Ushauri wako?

Halafu kuna page nilikua napita (Kimomwe motors) wameandika kuwa "sheria za nchi tunaagiza magari yenye umri wa miaka nane tu" maana yake kuanzia 2016 kupanda juu. Hii imekaaje kiongozi? Ama ndio sababu unamhimiza mshikaji hapo juu aagize Mazda ya mwaka 2015?

1. Ractis new model (mwaka sijui)
1724326593330.png

2. Passo 2011
1724326946251.png

3. Passo 2008
1724328054969.png

4. Runx (mwaka sijui)
1724328355595.png
 
Habari kaka.
Mfano mtu anakuomba ushauri anataka achukue gari mojawapo kati ya hizi chini, utashauri ipi.
Ukiangalia list ya hizi gari bila shaka unapata picha mtu huyo ana kipato cha kati. Hanunui gari anayotamani, bali atayoweza kuimudu. Ushauri wako?

Halafu kuna page nilikua napita (Kimomwe motors) wameandika kuwa "sheria za nchi tunaagiza magari yenye umri wa miaka nane tu" maana yake kuanzia 2016 kupanda juu. Hii imekaaje kiongozi? Ama ndio sababu unamhimiza mshikaji hapo juu aagize Mazda ya mwaka 2015?

1. Ractis new model (mwaka sijui)
View attachment 3076385

2. Passo 2011
View attachment 3076411

3. Passo 2008
View attachment 3076427

4. Runx (mwaka sijui)
View attachment 3076433
Mkuu, nimekusoma.

Kuhusu Kimomwe kusema gari chini ya 8 years achana nae.

Kuhusu izo gari, ulizoweka toa Passo. Hafu iyo Ractis sio bei kitoto lakini. Ila Runx/Allex unyama sana. Unaweza ongeza na Mazda Verisa hapo.
 
Back
Top Bottom