Ninunue gari ipi Mazda CX-5, Forester, Mitsubishi outlander,xtrail new moder

Ninunue gari ipi Mazda CX-5, Forester, Mitsubishi outlander,xtrail new moder

Nimegundua baadhi ya member huwa WANAJAMBISHA wakijifanya wananunua magari kumbe ni wazushi Tu...
Kuna member mmoja kilasiku kazi yake kuulizia magari kumbe ni mzushi Tu hata Jana amewachosha watu na Subaru au outlander..
Wiki iliyopita alikuwa anaulizia gari la budget ya million 4 wakati miezi miwili ya nyuma alikuwa anahitaj discovery 4
Labda ni dalali ananunua na kuuza
 
Mi nitakua bias kwa CX-5!

Ila ungejitahidi upate ya 2015-2016 walifanya face-lift kidogo walibadirisha muonekano wa ndani na nje.

Baadhi ya mabadiriko ni updates ndogo ndogo za nje mfano grille, road noise ambayo ni kilio cha Mazda miaka mingi wamepunguza, waliimprove infotainment system especially issue ya kuconnect Bluetooth na kuongeza knob (controller), waliongeza sport mode, LED lights mbele na nyuma kutoka halogen.
View attachment 3075775View attachment 3075776View attachment 3075778View attachment 3075779View attachment 3075780View attachment 3075782

Izo picha angalia before facelift (2014 kurudi nyuma) na after facelift (2015&16)



Features za ziada utakazo enjoy kwa Mazda:

Adaptive Cruise Control
Smart City Brake Support
Blind Spot Alert
Heads Up Display


Faida za CX5
Iko na smooth ride
Very fuel efficient
Comfortable
Spacious

Hasara kidogo
Complications kidogo za DPF
Rangi kuchubuka

Tips:

Usinunue Mazda ambazo haina logo pale mbele.. kuna uwezekano ilipata ajali. Ile logo ya mbele sio tu logo bali pia ina sensors na radar kwaajili ya SCBS na Adaptive Cruise Control.View attachment 3075789

Na mwisho kwangu kuna packages nyingi, nunua packages ya XD L ndio ipo full loaded.
Unafaa sana
 
Habari kaka.
Mfano mtu anakuomba ushauri anataka achukue gari mojawapo kati ya hizi chini, utashauri ipi.
Ukiangalia list ya hizi gari bila shaka unapata picha mtu huyo ana kipato cha kati. Hanunui gari anayotamani, bali atayoweza kuimudu. Ushauri wako?

Halafu kuna page nilikua napita (Kimomwe motors) wameandika kuwa "sheria za nchi tunaagiza magari yenye umri wa miaka nane tu" maana yake kuanzia 2016 kupanda juu. Hii imekaaje kiongozi? Ama ndio sababu unamhimiza mshikaji hapo juu aagize Mazda ya mwaka 2015?

1. Ractis new model (mwaka sijui)
View attachment 3076385

2. Passo 2011
View attachment 3076411

3. Passo 2008
View attachment 3076427

4. Runx (mwaka sijui)
View attachment 3076433

kwa hizo ulizotaja gari hapo ni Runix ikafatiwa kwa mbali kidogo na Ractis; passo achana nayo kwani inahitaji baby care (barabara za lami)..
 
Nimegundua baadhi ya member huwa WANAJAMBISHA wakijifanya wananunua magari kumbe ni wazushi Tu...
Kuna member mmoja kilasiku kazi yake kuulizia magari kumbe ni mzushi Tu hata Jana amewachosha watu na Subaru au outlander..
Wiki iliyopita alikuwa anaulizia gari la budget ya million 4 wakati miezi miwili ya nyuma alikuwa anahitaj discovery 4
Hili nalo mkalitizame.
 
Tunaomba picha ya 2017
1280px-2019_Mazda_CX-5_SE-L_NAV+_Diesel_2.2_Front.jpg
1280px-2019_Mazda_CX-5_SE-L_NAV+_Diesel_2.2_Rear.jpg
Mazda_CX-5_XD_L_Package_2WD_(LDA-KF2P)_interior.jpg
 
Back
Top Bottom