Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Naamini utapata FWD maana AWD zipo pia ila.Ipi nzur Mazda ya 4WD au 2WD na angalau iwe na km ngap mfano. . Kwa budget ya mfuko wangu naangukia ya 2014
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini utapata FWD maana AWD zipo pia ila.Ipi nzur Mazda ya 4WD au 2WD na angalau iwe na km ngap mfano. . Kwa budget ya mfuko wangu naangukia ya 2014
Acha kukariri nunua VW Au BMW au Volvo, hautajuta kabisa, hakuna matengenezo ya mara kwa mara na njiani zipo stable sanaWakuu naleta kwenu wataalamu wa magari ninunue gari ipi Kati ya hizo hapo au nje ya hizo gari nilizotaja bajeti ya yangu ni 25-27m
Njoo nkupe mazda cx5 yangu namba EF mwaka 2015 diesel mpyaaa kwa 30m maongez 0659756647 uinjoi maisha kwa mafuta kiduchuWakuu naleta kwenu wataalamu wa magari ninunue gari ipi Kati ya hizo hapo au nje ya hizo gari nilizotaja bajeti ya yangu ni 25-27m
Mkuu haujui kusoma mbona unakurupuka tu kujibu hata haujui tumeanzia wapi...Mchawi wewe , mtu anaomba ushauri hapa wa gari ya kutembea ,unaleta habari za gari z matajili
Mil 27 unapata Rav 4 massawe na chenji inabaki. Achana na hizo gari za mabishoo, Umeme mwingiHv cx 5 unaipta kwa mil 27?
Wakuu naleta kwenu wataalamu wa magari ninunue gari ipi Kati ya hizo hapo au nje ya hizo gari nilizotaja bajeti ya yangu ni 25-27m
Haina shida mkuu ..we mkuu unafanyia wapiMkuu malembeka18 , out of topic....
Kama itakupendeza, naomba nikutafute end of this year (around December) unipe 'connection' ya biashara ya sukari.
Cheki hata mistubish RVRWakuu naleta kwenu wataalamu wa magari ninunue gari ipi Kati ya hizo hapo au nje ya hizo gari nilizotaja bajeti ya yangu ni 25-27m
Engine ya 3sRav 4 toleo la kwanza aka rav Massawe ndio gari ya uhakika. Safari popote
Haya ndio madiniMi nitakua bias kwa CX-5!
Ila ungejitahidi upate ya 2015-2016 walifanya face-lift kidogo walibadirisha muonekano wa ndani na nje.
Baadhi ya mabadiriko ni updates ndogo ndogo za nje mfano grille, road noise ambayo ni kilio cha Mazda miaka mingi wamepunguza, waliimprove infotainment system especially issue ya kuconnect Bluetooth na kuongeza knob (controller), waliongeza sport mode, LED lights mbele na nyuma kutoka halogen.
View attachment 3075775View attachment 3075776View attachment 3075778View attachment 3075779View attachment 3075780View attachment 3075782
Izo picha angalia before facelift (2014 kurudi nyuma) na after facelift (2015&16)
Features za ziada utakazo enjoy kwa Mazda:
Adaptive Cruise Control
Smart City Brake Support
Blind Spot Alert
Heads Up Display
Faida za CX5
Iko na smooth ride
Very fuel efficient
Comfortable
Spacious
Hasara kidogo
Complications kidogo za DPF
Rangi kuchubuka
Tips:
Usinunue Mazda ambazo haina logo pale mbele.. kuna uwezekano ilipata ajali. Ile logo ya mbele sio tu logo bali pia ina sensors na radar kwaajili ya SCBS na Adaptive Cruise Control.View attachment 3075789
Na mwisho kwangu kuna packages nyingi, nunua packages ya XD L ndio ipo full loaded.
Mkataba. Hakuna Umeme mwingi.Engine ya 3s
Kuna prado mchaga piaMkataba. Hakuna Umeme mwingi.
Prado mchaga upate engine ya diesel 1kz with 5 speed manual gearbox. MkatabaKuna prado mchaga pia
Mkuu yote ni mazuri,ungechukua yote ingependeza! Kwenye list yako sijaona tu trekta!Wakuu naleta kwenu wataalamu wa magari ninunue gari ipi Kati ya hizo hapo au nje ya hizo gari nilizotaja bajeti ya yangu ni 25-27m