Ninunue gari ipi Mazda CX-5, Forester, Mitsubishi outlander,xtrail new moder

Ninunue gari ipi Mazda CX-5, Forester, Mitsubishi outlander,xtrail new moder

Mzee Kigogo kwenye mkataba utaona bora uvute mashine ya Caterpillar tu..magari ni ya kuyatumia yaishe model ikipitwa na wakati unataka kutumia gari mpaka unakuja kufanana nalo sura.
Binafsi kigezo changu cha kununua gari kwanza uimara, upatikanaji wa spare na mafundi na pili resale value. Mambo ya kununua gari kwa kigezo cha muonekano, uniqueness nimewaachia vijana wa mjini, bado wana ushamba wa magari.
 
Hakuna gari ambayo Watanzania hawawezi kutengeneza Mkuu..uimara mara nyingi tunanunua gari za miaka ya nyuma sana kutokana na kodi ila kama tungekua tunapata za miaka ya karibuni mambo ya kusikia likisumbua ndani ya muda mchache ni nadra sana..
 
Haina shida mkuu ..we mkuu unafanyia wapi

Mkuu, natarajia kuweka base aidha Geita au Katoro au Kahama, ili kufanya biashara.

Biashara ya sukari (kuuza jumla) huwa ipo kwenye mipango yangu sana, ila nakosa connection (kushikwa mkono) ya kupata mzigo viwandani, coz the Giants wamekaba sana hiyo sekta na ni wagumu kutoa info/ABCs za biashara hii.
 
Uwezo wako kununua ni sukari mifuko mingap hasa mfano ya kg25
 
Uwezo wako kununua ni sukari mifuko mingap hasa mfano ya kg25

Kwavile siwezi fahamu bei itayokuwepo wakati huo (December/January) nitakapokuwa tayari kuanza, naomba nikujibu swali lako kwa taswira hii: Ninakusanya mtaji wa Tsh 10M kwa kuanzia.
 
Kwavile siwezi fahamu bei itayokuwepo wakati huo (December/January) nitakapokuwa tayari kuanza, naomba nikujibu swali lako kwa taswira hii: Ninakusanya mtaji wa Tsh 10M kwa kuanzia.
Ili uweze pata Bei poa itatakiwa uwe na uwezo wa kununua tone30 ambayo nisawa na mifuko ya kg25~1280 hapo utaweza chukulia kiwandani Sasa mfano kwa Sasa Bei kiwandani 58500..utachukua 58500×1280=74,880,000...Sasa kwa m10 itakubid uchukulie kwa wakala mfano hapo kahama unafuta wakala anaeleta sukar Toka kiwandani sababu unachukua sukar ya Hela nyingi kama mfano hiyo 10m..basi yeye atakuuzia tofaut na anavowauzia wangine wasukari ya m2 ww atakupunguzia zaid ili uwende ukauze jumla naww upate faida mzigo uishe kwa haraka
 
Shukrani sana mkuu, hizi info ni muhimu sana kwangu. Nimekuelewa vyema.
 
Mkuu hivi x trail new model na Mazda ipi ipo kinyama zaid plus fuel consuption
Mkuu hizi gari zimetofautiana miaka yaani
X trail ya 2015 ipo tofauti na ya 2017 na kuendelea vivyo hivyo hizo Mazda ya 2012 ipo tofauti feature zake na ya 2017 na kuendelea kwa hiyo ukitaka gari lenga mwaka unaohitaji kutokana na Budget yako baada ya kuwapitia TRA na kikokotoo chao kwa hizo zote zina balance nzuri comfort ipo na ulaji wa mafuta wa kawaida tu..
 
Mi nitakua bias kwa CX-5!

Ila ungejitahidi upate ya 2015-2016 walifanya face-lift kidogo walibadirisha muonekano wa ndani na nje.

Baadhi ya mabadiriko ni updates ndogo ndogo za nje mfano grille, road noise ambayo ni kilio cha Mazda miaka mingi wamepunguza, waliimprove infotainment system especially issue ya kuconnect Bluetooth na kuongeza knob (controller), waliongeza sport mode, LED lights mbele na nyuma kutoka halogen.
View attachment 3075775View attachment 3075776View attachment 3075778View attachment 3075779View attachment 3075780View attachment 3075782

Izo picha angalia before facelift (2014 kurudi nyuma) na after facelift (2015&16)

Features za ziada utakazo enjoy kwa Mazda:

Adaptive Cruise Control
Smart City Brake Support
Blind Spot Alert
Heads Up Display

Faida za CX5
Iko na smooth ride
Very fuel efficient
Comfortable
Spacious

Hasara kidogo
Complications kidogo za DPF
Rangi kuchubuka

Tips:

Usinunue Mazda ambazo haina logo pale mbele.. kuna uwezekano ilipata ajali. Ile logo ya mbele sio tu logo bali pia ina sensors na radar kwaajili ya SCBS na Adaptive Cruise Control.View attachment 3075789

Na mwisho kwangu kuna packages nyingi, nunua packages ya XD L ndio ipo full loaded.
Hv mkuu, kwenye ule Uzi wa mshahara nahisi unatochora sisi wa OR Tamisemi
Maana vitu vyako sio wa kuuliza mshahara
 
Back
Top Bottom