malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Wakuu naleta kwenu wataalamu wa magari ninunue gari ipi Kati ya hizo hapo au nje ya hizo gari nilizotaja bajeti ya yangu ni 25-27m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii gari ni habari ya mjini kwa sasa nami ninaweka kambi hapa nijifunze zaidi kama Zanzibar-ASPMazda CX 5 Diesel engine CC 2200 utaenjoy sana kwenye ulaji wake wa mafuta.Hata muonekano wake ni wa kibabe sana.
Sijajua kwenye uimara na upatikanaji wake wa vipuri ukoje.
Mi nishaapa mwakani hadi mwezi kama huu inshallah lazimq nilitie nyavuni,naielewa sanaHii gari ni habari ya mjini kwa sasa nami ninaweka kambi hapa nijifunze zaidi kama Zanzibar-ASP
hizi dalili za roho mbaya kabisa🤣🤣Kwasababu kipato chako ni kidogo nunua passo cc 950 inakula mafuta kidogo kama Toyo hiyo utaweza kumiliki bila usumbufu
Garage zetu za kupiga nyundo vipi, wanaimudu au tupeleke kwa authorized dealers wa Mazda?Mi nitakua bias kwa CX-5!
Ila ungejitahidi upate ya 2015-2016 walifanya face-lift kidogo walibadirisha muonekano wa ndani na nje.
Baadhi ya mabadiriko ni updates ndogo ndogo za nje mfano grille, road noise ambayo ni kilio cha Mazda miaka mingi wamepunguza, waliimprove infotainment system especially issue ya kuconnect Bluetooth na kuongeza knob (controller), waliongeza sport mode, LED lights mbele na nyuma kutoka halogen.
View attachment 3075775View attachment 3075776View attachment 3075778View attachment 3075779View attachment 3075780View attachment 3075782
Izo picha angalia before facelift (2014 kurudi nyuma) na after facelift (2015&16)
Features za ziada utakazo enjoy kwa Mazda:
Adaptive Cruise Control
Smart City Brake Support
Blind Spot Alert
Heads Up Display
Faida za CX5
Iko na smooth ride
Very fuel efficient
Comfortable
Spacious
Hasara kidogo
Complications kidogo za DPF
Rangi kuchubuka
Tips:
Usinunue Mazda ambazo haina logo pale mbele.. kuna uwezekano ilipata ajali. Ile logo ya mbele sio tu logo bali pia ina sensors na radar kwaajili ya SCBS na Adaptive Cruise Control.View attachment 3075789
Na mwisho kwangu kuna packages nyingi, nunua packages ya XD L ndio ipo full loaded.
Vip cost yake mpaka bongo inaweza gharimu kias ganiMi nitakua bias kwa CX-5!

Nigar mzuri sana ni nyepes nilibahatika kuendesha juzi nimeipenda
Gar ya mwaka gani nzuriNigar mzuri sana ni nyepes nilibahatika kuendesha juzi nimeipenda
Mm sijui ya mwaka gani ila inafanana na iyo ilio wekwa hapa kwenye pich ni nyekundu ivyo ivyoGar ya mwaka gani nzuri