Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kuna watu nimeona mna discuss kuhusu low mileage Mazda.
Aisee kama ni Diesel kigezo cha mileage utakuja kulia machozi, unless iwe ya 2020 kuja juu ndio iwe chinu ya 60k otherwise mileage kubwa sio issue.
WHY?
Mazda Diesel (kama zilivyo Diesel engines nyingine) zina DPF (Diesel Particulate Filter) ambayo kwa lugha nyepesi ni component ya exhaust system inayo act kama chujio kuondoa soot (carbon) kwenye exhaust system.
Sasa ikiondoa inamaanisha inabaki kwenye chujio kwahiyo zinatakiwa kuchomwa ili zitoke kwenye chujio zisiblock system nzima. Kwahiyo kila baada ya kilometa kadhaa gari litaanzisha cycle ya kuziondoa, inaamua gari sio wewe manually.
Kinachotokea ni kwamba, gari inachukua mafuta kidogo na kuyaingiza kwenye iyo DPF na joto lililopo vinadaidia kuichoma iyo soot (carbon) iliyonasa kwenye machujio. Ikiungua yote inamaanisha chujio imekua safi inaweza anza kazi ya kunasa zingine.
Sasa ili zichomwe kuna conditon inatakiwa gari ifikie, moja wapo iwe imepata joto la kutosha, uwe umeendesha kwa dk kadhaa (mara nyingi 10+) na speed flani (40kmph kuendelea) bila kustop).
Hii tunaiitaga regeneration. Sasa regeneration ikianza inatakiwa isikatishwe. Kwahiyo ikianza inabidi uendelee kuendesha gari hadi imalizike. Uwa inachukua kama dk 15-20 hivi kutegemea na mzigo uliopo wa soot kwenye izo chujio. Kuna wengine wanaacha gari ifanye idle tu kwa kupark, nimewahi jaribu hii kinachotokea itasema inekamilika ukianza kuendesha kidogo unakuta inataka tena. Kwahiyo best solution ni kuendesha gari (ukiendesha fast na kwa rpm kubwa ndio best option)
Sasa ukitokea umekatisha sio case mara moja au mbili. Ila ikiwa mara nyingi ndio case ndio maana utasikia gari imeanza kusumbua DPF. Ni kwasababu ya izo incomplete DPF.
Kwa nchi za wenzetu, ni marufuku kutoa (yaani kuiondoa) iyo DPF ila kwa Tanzania hakuna sheria iyo ya emissions ndio maana ukinunua tu Mazda mafundi watakushauri ufanye DPF removal and EGR delete.
Sasa ndio maana kuna sehemu nimesema kama wewe ni mzee wa short trips, CX-5 itabidi angalau once a week au kila baada ya week mbili endesha kama umeiiba from Dar to B'Moyo au ata Kibaha ufanye rev za 2000+ rpm kwa muda mrefu.
Turudi kwenye issue ya low mileage Mazda.
Unakuta gari la 2014 hafu lina mileage chini ya 100k inamaanisha ndani ya miaka 10 (2014-2024) uyo mtu alikua anaendesha 10k km kwa mwaka, roughly 28km kwa siku. Yaani anakaa Ubungo anafanya kazi Posta.
Hii imetumika mjini inamaanisha, risk sana sana sana.
Kwa lugha nyepesi, CX5 inataka mtu anaependa kuendesha gari. Kuendesha sana wazee wa road trip au night cruise ndio wanapenda.
Utajuaje kama inafanya regeneration ili usikatishe/usizime gari?
Kuna mbinu nyingi, Ila nyepesi kabisa ni kuangalia i-Stop.
(i-Stop tutaiongelea baadae mtu akiuliza, ila kwa kugha nyepesi ni jina la kishua la Mazda na gari kujizima na kujiwasha engine ukiwa idling mfano foleni ili kutunza mafuta, kupunguza emissions na makelele).
Okay, sasa gari ikianza kufanya regen i-Stop inakua disabled. Sio disabled kama ukiizima wewe manually kwa kubonyeza iyo button ilioandikwa i-Stop OFF chini ya steering, inakua off kabisa ata kwenye dashboard hauioni. (i-Stop ikiwa ON inakua green kwenye dashboard, ukiizima kwa kibonyeza button inakua yellow ila ikiwa regen inakua disabled, yaani haionekani kabisa kwenye dashboard)
NB: i-Stop pia inapoteaga kwenye dashboard ukiwa haujavaa mkanda au ukiweka AC joto la chini kabisa (18 degrees) au ukiwa ndio unawasha gari.
Kwahiyo ukiwasha gari umevaa mkanda na AC ipo kawaida ukaendesha i-Stop iko ON ghafla ikapotea (yaani haipo kabisa sio green wala yellow) ujue chuma inafanya regeneration, pale utaona gari linaongezeka makelele exhaust na ulaji wa mafuta kidogo unaongezeka (utaona katika real time fuel consumption kwenye d'bord), basi apo endesha sana if possible weka manually hafu tumia low gears ili rpm ziwe kubwa 2000+
Okay naweza kua wrong baadhi ila vingi nimeongea kwa my own experience.
Pamoja.