Ninyi Wenzangu mnakutana na wachumba maeneo gani?

Naelewa unacho pitia ndugu, pole sana bt endelea kutafuta, tongoza as much you can
 
Badili Location tu mzee baba😅 unakaa hapo hapo nenda mitaa ya mbali jimix na mafundi fundi ikibidi.😅
 
Hao wanafunzi kama ni wa chuo komaa ila kama ni miaka 30 acha, unaishi wap huko mkuu kwa hii population ya wanawake ilivyo juu alafu huwaoni? Ushauri wangu usiwe too much selective
Naishi Dar.

Ushauri wako nimechukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…