Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Jibu hilo swali la kwenye kichwa cha uzi au jichagulie jingine hapo chini tupige story!
- Hakuna utamu kama β¦β¦β¦β¦β¦........... (malizia)
Kwamba kuna kipindi kati ya 2005 na 2010 nilikua naimba kwaya, na kuna videos huko mjini youtube za ushahidi π2. Kitu gani kuhusu wewe watu wakiona hawawezi kukudhania?
acha nisome kwanzaToa na majibu basi π
View attachment 3565256
Ukandwe kandwe kaka yangu π acha tuhakikishe jambo linakamilika πMama la mama ,huko bado hapasomeki ndugu ili niwe nasoma hizi mada zako huku naogeshwa kwenye gubeseni gukubwa ?
Naona ushaanza kusherehekea pasaka na aliyefia msalabani, bado hata hajaanza safari ya kuelekea Golgotha π
Badaa mjibu mnaleta π
Labda anamaanisha Biringanya nalo ni jibu πBadaa mjibu mnaleta π
Mr. Cash, Ladies attractionNaona ushaanza kusherehekea pasaka na aliyefia msalabani, bado hata hajaanza safari ya kuelekea Golgotha π
WoiiiiBadaa mjibu mnaleta π
ngoja nimalize kumkaangizia bby wangu nakuja kupitia mavituziiiiMbaga Jr shemeji njoo useme chochote kitu
We dogo Mtaachana sema kitu school boy
win-one vitu vyako tia neno
chai ya rangi sema chochote π
jibu hata moja basiπngoja nimalize kumkaangizia bby wangu nakuja kupitia mavituziiii