Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #221
Henessy uwe unatuletea wewe boss wangu, na sisi tusiokunywa pombe usitusahau, tunapendelea zile juisi za embe au mirinda nyeusi.Ifike hatua Binti wa zamani ukianzisha uzi uwe unaleta na hennesy tuburudike uku stori zikiendelea jukwaani maana una wachangiaji wengi sana
😶🌫️. Bhna anasema akitoa oda unalala kwenye jokofu na spoke ya moto matourkuonNa yeye akitaka namfanya hivo hivo.
Mashemeji zetu wa same na upareni unatenga na mbegeHenessy uwe unatuletea wewe boss wangu, na sisi tusiokunywa pombe usitusahau, tunapendelea zile juisi za embe au mirinda nyeusi.
Kubakwa tena 🤣 🤣Asa ndo imetokea imevunjika utaifunga mhogo ili iendelee na kazi au vp apate bahati ya kubakwa na mshangazi
Pole dear, ila usisuse buana!nimeandika karibu 3 times ila kureply inagoma, nikasusa zangu 🤣🤣🤣 ndo nimebaki kusoma comment tu jamni
Hizo mbwembwe tuu, Nikimkuna vzr atanihonga mpaka V8, ke yupi asiependa utamu wa kukunwa vzr???😶🌫️. Bhna anasema akitoa oda unalala kwenye jokofu na spoke ya moto matourkuon
NIMENUKUU
Muhimu sana 💯
Mie wangu sikukaa nae sana... Alikuwa vizuri darasani na alipata ufadhili mapema sana. Nashukuru tu misimamo na malezi vilimsidia huko alikokuwa na sasa yuko vyema kimaadili ya kiume.Hawa wangu tuliwaweka bize na michezo toka wapo wadogo, sasa wote wanacheza competitive sports na zinawaweka bize. Zaidi ya hapo video games na kuspend muda na marafiki. Mikwaruzano ya hapa na pale haikosekani ila nashukuru Mungu hakuna shida kubwa.
Tuliza komwe kabisa. .....achana na hizo vitu watu wanadhalilikaHilo nano neno, nimepata kaubaridi, umesema la maana.
Niliona huko twitter hizo cases za mabinti kuvujishiwa tupu zao, inaogopesha!
Inawezekana maana hao ni wa kitambo!Sijui majukumu na maisha kubadilika maana ndoa zilipita na wengi humu.
Mambo ya kujiaibisha sana, ni ujinga mtu kushindwa kujikubali uhalisia wako na kutaka kujifanyisha namna ambayo wala haupo.Hao wengi. USA ya ndotoni na utajiri wa kufikirika.
Daaah, ilikua hatari 🤣 kama nawaona wanajukwaa walivyolikuza jambo la mwenye gobole lenye kipele 😂Hahahaha!!! Dada alisema usitanie.... Sasa SITA usiku jukwaa la ukubwani tukajipatia kapicha ketu.
Halafu bi dada akauliza. Jamani wakubwa ukikutana na ya hiviiii??? Tupeane experience!!!
Ewaaaaah, mbege isikosekaneMashemeji zetu wa same na upareni unatenga na mbege
Spoke ya moto wapi 😯😮💨😶🌫️. Bhna anasema akitoa oda unalala kwenye jokofu na spoke ya moto matourkuon
NIMENUKUU
Kwa mimi apanaNa huyo kijana siyo wewe kweli?
Ilikuwa rahaaa!!!! Jamaa mdomo aliufyta mwenyewe.Inawezekana maana hao ni wa kitambo!
Mambo ya kujiaibisha sana, ni ujinga mtu kushindwa kujikubali uhalisia wako na kutaka kujifanyisha namna ambayo wala haupo.
Daaah, ilikua hatari 🤣 kama nawaona wanajukwaa walivyolikuza jambo la mwenye gobole lenye kipele 😂
Si ajabu asharudi humu na ID nyingine!
Utayaona tu.... Endelea kukua.Gobole lenye upele nalo likoje?😂
Sijaona mengi kumbe 🥲
Inapendeza, hongera sana mamie kwa malezi, si kazi rahisi.Mie wangu sikukaa nae sana... Alikuwa vizuri darasani na alipata ufadhili mapema sana. Nashukuru tu misimamo na malezi vilimsidia huko alikokuwa na sasa yuko vyema kimaadili ya kiume.
Hawa wasichana sasa nambana wasijiingize mapema kwenye mahusiano.
Nimekoma hata kuanza ku-entertein hilo wazoTuliza komwe kabisa. .....achana na hizo vitu watu wanadhalilika
Duuuh, hao Gen Z wamekuja bongo au wanauzia kutokea huko kwao?Kuna dada mujini aliniambia sasa hivi Kuna chimbo jipyaaa.
Genz wa kinyarwanda na kikongo wanauza dushelele unalipia na kupewa hudduma unavyotaka.
Fact 💯No matter how rich, poor you're, familia hutupa amani, upendo hamasa ya kufurahia na kuendeleza mapambano kwenye maisha.
Binti wa zamani ndo mana nakukubali sana Dada ake, Shukrani kwa hii pasi tamu uliyonipigia I'll never let u down😂😂😂
Kwanza anazira harudii tena😁
Khee kupotea labda hamjaclick vzr, sema mi pia mzito kutengeneza marafiki huku duniani🤣 napenda kujifungia pekeangu kwanza🤭
Nimesoma huku najaribu kwa mbaliii 🫘
Ndio nakimbilia bafunii nawahi kibomba😆😆 ukijichekesha unarushiwa mdomoni🤢
Sijawahi na ndio vinakomaaga na mimi havina aibu eti🤔
Hebu subiri nije nikabless kamoja nione inakuwaje🥱
Inapendeza, hongera sana mamie kwa malezi, si kazi rahisi.
Achana naloNimekoma hata kuanza ku-entertein hilo wazo
Hawana tofauti, tofauti ni privacy labda na wako very classic wasafi.Duuuh, hao Gen Z wamekuja bongo au wanauzia kutokea huko kwao?
Kiufupi hao si ni prostitutes wa kiume tu au tofauti yao na madada poa ni nini?
Sawa usishindwe kazi, ukaniaibisha 😂 😂Binti wa zamani ndo mana nakukubali sana Dada ake, Shukrani kwa hii pasi tamu uliyonipigia I'll never let u down
Amina 🙏Asante tupambane tu kwa uwezo wa Mungu tutaweza
Nimekuelewa, huko kwa nchi za wenzetu wanaitwa "escorts"Hawana tofauti, tofauti ni privacy labda na wako very classic wasafi.
One call wako mlangoni
Wako bongo dada wanakufuata popote kwa gharama zako
Watumiaji wengi ni wale rich auntie na WA mama mjengo. Ni expensive wanacharge kwa masaa au siku nzima
Ehh nani kasema au kakugundua ndoa ndio ina tengeneza familia?Fact 💯
Followup Qn:
Wewe si huwa unasema hutaki ndoa ambayo ndiyo inatengeneza familia. Sasa haya yote utayapataje?