👏👏1. Hakuna utamu kama wa tendo haswaa na umpendae. Tena awe anakujulia.
2. 2&3 achana nazo.
4. Hapana kwa kweli...
Sikuwahi kupendelea mie hupata umri ambao tunaendana
5. Watoto Bado hawajaanza hekaheka matukio Yao kawaida.
Namba nne naiona kama imebeba ujumbe zaidi..... Nadhani tunatakiwa tuzogoe hapo
What we call mix by Yas🤗🤗🤗🤗Ukweli pekee nitakao usimamia na kulinda kwa uhai wangu ni.
- nisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
- kataa ndoa linda maisha yako
- familia muhimu.
Ila humu Kuna watu wamepinda sana 🤣
samahani binti wa zamani, hii picha huwa ina maanisha nini? mara kadhaa nimeona unaiposti sana kwenye nyuzi zako
Nimekushikia, karibu mwaya, pokea na popcornumenishikia siti au ndo ubinafsi wa kujipendelea
Akae ukweni kiaje tena na ni kataa😂😂🙌 ndoaUkweli pekee nitakao usimamia na kulinda kwa uhai wangu ni.
- nisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
- kataa ndoa linda maisha yako
- familia muhimu.
Hebu ngoja mi niwe serious nijibu maswali..jingine hapo chini tupige story!
🍆👅 just kidding..
- Hakuna utamu kama ……………........... (malizia)
Naonekana mpole sana, lakini ukweli nina vibe pan’ la hatari ukinizoea vizuri, unaweza usitake kuondoka tena 😏2. Kitu gani kuhusu wewe watu wakiona hawawezi kukudhania?
Kuhusu Imani yangu siwezi kuiuza bora nikubali nisieleweke kuliko nijipoteze3. Ukweli gani ukiusema unaweza hata kupigwa mawe ila utausimamia?
Ndio, aliyenizidi, alinitreat kama mtoto sikupenda mara anifokee niende kwenye vipindi😒4. Ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu uliyemzidi umri kuanzia miaka 10 na kuendelea? ilikuwaje? tupe kauzoefu kidogo.
Nikimuudhi narekodiwa voice note kufikishiwa ujumbe🙆🏽♀️5. Wale mliosumbua wazazi wenu, watoto wenu tayari wanawahangaisha au mmezaa malaika? Weka matukio ya watoto wetu hapa ili ambao bado hawajazaa wajiandae kisaikolojia.
Kama mapenzi ni mchezo… wewe ungependa ba mkali akuchezee vipi ili usitake game iishe?
- Kama kawaida: Uliza swali lolote nitakujibu!
View attachment 3565249
Mzee wa nondo, usitoke kabla hujajibu hata swali moja buana!Nimejikuta tu nimo ndani kwenye huu Uzi!
Ngoja nitafute mlango wakutokea,niwaachie vijana na nyuzi zao.
Umeiona ee😂😂🙌What we call mix by Yas🤗🤗🤗🤗
Huku kataa huku,huku familia muhimu!!
Naomba utufafanulie hiyo point ya mwishoUkweli pekee nitakao usimamia na kulinda kwa uhai wangu ni.
- nisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
- kataa ndoa linda maisha yako
- familia muhimu.
Kwanza ulipotelea wapi?Mzee wa nondo, usitoke kabla hujajibu hata swali moja buana!
Si ndio maana nikakuita binti acha gubu basi uolewe mfyuuuu😏umenishikia siti au ndo ubinafsi wa kujipendelea
Mambo ya bukoba hayosamahani binti wa zamani, hii picha huwa ina maanisha nini? mara kadhaa nimeona unaiposti sana kwenye nyuzi zako
Anataka kulamba pia🤭Labda anamaanisha Biringanya nalo ni jibu 😂
Acha tu, mambo yalikuwa mengi!Kwanza ulipotelea wapi?
Nimekujoin huko kwenye exclusive club.Hongera kwa kua Platinum member.
Unamchokoza, utauweza ugomvi wa usiku usiku lakini 😂Anataka kulamba pia🤭