Ninyime kila kitu ila usininyime ………. 🤭- karibu tuzogoe!

😂😂😂

Kwanza anazira harudii tena😁
Anaweza akarudi ila itakua baada ya kukuambia "I need some space" halafu apotee kidogo 😂
Khee kupotea labda hamjaclick vzr, sema mi pia mzito kutengeneza marafiki huku duniani🤣 napenda kujifungia pekeangu kwanza🤭
Ugumu wako unapoishia, wangu ndiyo unapoanzia
Nimesoma huku najaribu kwa mbaliii 🫘
Si ulisema hako ka mchezo umeacha 😂
Ndio nakimbilia bafunii nawahi kibomba😆😆 ukijichekesha unarushiwa mdomoni🤢
Mbona kutoa kwenye kipochi manyoya mpaka mdomoni ni mbali sana, mimi kwa kweli sina shida na hilo nitabugia tu biringanya, nipate taste ya huo mchanganyiko wote 🙈🙈
Sijawahi na ndio vinakomaaga na mimi havina aibu eti🤔
Hebu kajaribu kamoja uje utusimulie 😂🤣
Hebu subiri nije nikabless kamoja nione inakuwaje🥱
Baada ya mwaka utaanza tena kuombewa uache uraibu 🤣
 
Akili zipo, humu nachangamsha genge tuu.

Nyeto ni tamu kuliko hata chakula.

Tunavyochukuliana poa Ndo napenda 😂

Bado mm tuu kukupelekea moto, na cjui itakuwa lini mana ulinizingua 😂

Kama niliwahi kusema nna mshangazi, bc nisamehewe, nilikuwa Nmelewa.
 
Acha nijibu hii paper

1. Hakuna utamu kama ugali na nyama choma ya mbuzi

2. Watu wanajua situmii kilevi ila deep down nakunywa 🍻

3. Kushuhudia maiti ya mtu ikifukiwa porini (when I was still little boy)☠️☠️💀

4. Sijawahi kuwa kwenye mahusiano na above of my age ila under age yes I did.

5. Sina mtoto maana mama wa mtoto sijlampata🤣🤣.

6. Unaitwa mama nani eti?😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…