Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Hivi kwanini sisi Wanaume Tunapenda Penda Hovyo Watu Tusio Wajua? Wewe Limtu Hulijui Hujawahi Liona Wala Kulisikia Sauti Afu Unajikuta Tu Unalipenda Khaaaa! Utapenda Majini Mzee Baba.
Mbona una mvunja moyo Mzee Baba[emoji38] [emoji38]
 
Huyo Mzigua90 utapata kilema cha kudumu. Mtuachie tu sie
 
Mahari ikiwa poa... utanisamehe... ntaichukua. Asipokuridhisha usijali babu yako nipo nitajua cha kufanya kumaliza kiu yako.

Nshakuwekea link hebu kachangamkie hiyo deal
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
 
Sielewagi mwanaume kuogopa mwanamke wakati ndo wanatakiwa kutongoza.
Unajua uoga huwa unajijenga kiimani zaidi yaani kabla huja mtongoza unajipa majibu ya kuwa hawezi kunikubalia na hapo usha jiwekea jibu moyoni kuwa hawezi kuwa wangu

Na hii ndo inatunyima kupata warembo tunao penda kuwa nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…